Ona Rais Zelenskyy anavyotiwa ujinga

Ona Rais Zelenskyy anavyotiwa ujinga

Buhamila

Senior Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
160
Reaction score
82
Kwa mtu mwenye akiri hawezi sifia
Screenshot_20230524_161648_Chrome.jpg
 
Urusi ndiyo anapigania nchi yake,Zelensky anapigania maslahi ya waliomtuma bila kujali maslahi ya aria wa Ukraine
Umesema vizuri sana, Zelensky anapigania maslahi ya waliomtuma ambao ni Waukraine. Tena walimtuma hivyo baada ya kuwapa ahadi kwenye kampeni na wakamchagua atekeleze ahadi hiyo na akaapishwa.

Hatakiwi kuja dobi katoka kufua chupi uko akaanza kuwapangia Ukrainians wanataka nini. Wao wanajua wanachotaka kuliko kenge yeyote asiye raia mwenzao na hawana shobo nae. Anayetaka kuuza nchi yake sawa, anayetaka kuikodisha sawa, hakuna sehemu Ukrainians waliomba ushauri juu ya nchi yao
 
Kijana mpuuzi,ahadi ya kwanza ya Zelensky kwenye uchaguzi ilikuwa kufanikisha Ceasefires eneo la Donbass republics na ndicho alichotumwa na waUkraine
Hayo mengine walimtuma mashoga wenzako wa NATO, (mpiga nyeto ni shoga)
 
Tatizo la ukraine na russia lilianza kabla hata zelensky hajawa rais, tokea mwaka 2014 russia aliichukua crimea baada ya waukraine kuandamana kumpinga rais wa kipindi hicho viktor yanukovichy na akakimbilia urusi kwa hiyo ni tatizo hata zelensky hajawa rais amelikuta

Hii coment yako inaonyesha jinsi ulivyokua mweupe na hujui mgogoro wa ukraine na russia hata ulianzaje
 
Wewe ndio hujui kitu, zile fujo zilichochewa na marekani. Zelensky alikuwa miongoni wa viongozi wahamasishaji wa zile fujo. Kutokea hapo marekani wakaanza kumuandaa Zelensky kuja kuwa kiongozi wa nchi kwa kazi maalum. Nyie vilaza haya mambo huwa hayatokei kwa kubaatisha, ni mikakati kabambe
 
Kijana mpuuzi,ahadi ya kwanza ya Zelensky kwenye uchaguzi ilikuwa kufanikisha Ceasefires eneo la Donbass republics na ndicho alichotumwa na waUkraine
Hayo mengine walimtuma mashoga wenzako wa NATO, (mpiga nyeto ni shoga)
Unawashwa tundu hilo nitafute nikusugue.
Zelensky katoa promise ya ceasefire alafu Russia ikavamia ukitaka apanue mapaja kama wewe?
Nikija kwako nikakubaka unakata viuno ukisubiri nimalizie ndio tufanye mazungumzo? Punga kweli wewe
 
Uje na babaako na mamaako
 
Tatizo la ukraine na russia lilianza kabla hata zelensky hajawa rais, tokea mwaka 2014 russia aliichukua crimea baada ya waukraine kuandamana kumpinga rais wa kipindi hicho viktor yanukovichy na akakimbilia urusi kwa hiyo ni tatizo hata zelensky hajawa rais amelikuta

Hii coment yako inaonyesha jinsi ulivyokua mweupe na hujui mgogoro wa ukraine na russia hata ulianzaje
We mpuuzi,Zelensky kuahidi ceasefire na mambo ya mimi kuwa Mweupe vina uhusiano gani?
Ugomvi kuanzia tangu 2014 na nilichoandika vina uhusiano gani?
Mbona unaandika kama mtoto
 
Kama kuna mtu aliwahi kufanya mafunzo mepesi kabisa ya ukinzi binafsi. Utakubaliana na mimi uhai wa mtu unathamani kubwa kuliko chochote.

Kwenye mafunzo hayo unaambiwa unapovamiwa na wahalifu tii yote wasemayo ili ubaki salama. Kama ni wezi wa gari wape funguo haraka, kama ni majambazi wanataka fedha wape haraka ili waondoke ubaki salama.

Zelensky anapambana na watu ambao anajua fika hatoweza kuwamudu badala yake watu wake wanakufa, askari wake wanauwawa, huku wanaweza kusitisha vita na kuzungumza hadi kufikia muafaka na hata maeneo husika kurudishwa.(kama kutakuwa na security guarantee). Kutegemea mashoga ambao raia wao wapo salama na wanataka upigane ili wao wafaidike kwa damu ya raia wako ni kosa.

Zelensky hajashauriwa vizuri
 
Unawashwa tundu hilo nitafute nikusugue.
Zelensky katoa promise ya ceasefire alafu Russia ikavamia ukitaka apanue mapaja kama wewe?
Nikija kwako nikakubaka unakata viuno ukisubiri nimalizie ndio tufanye mazungumzo? Punga kweli wewe
Hata wewe umevutwa kwenye hoja za matusi mkuu mi pro Russia ila huwa nasoma comment zako kwa umakini unaposifia kifaa fulani, japo zingine kiupenzi ila nakielewa, ukiona mtu ana provoke pita kushoto acha hoja za hivyo mkuu, watoto ndio hufanya hivyo, sometime kuwa kimya ni hekima
 
Back
Top Bottom