ondoa izi propaganda binafsi, people are in battle bakhmutKwa mtu mwenye akiri hawezi sifiaView attachment 2633427
ondoa izi propaganda binafsi, people are in battle bakhmutKwa mtu mwenye akiri hawezi sifiaView attachment 2633427
Zelesky ni shujaa hajakubali kuisalimisha nchi yake kwa Urusi unataka awe mateka kwa PutinKwa mtu mwenye akiri hawezi sifiaView attachment 2633427
Nikuulize swali je Vietnam ilivyopambana na Marekani ilijua itammudu Marekani? Mbona mnataka kumrahishia Urusi kuiteka Ukraine kirahisi hivyo swali jingine je Hitler alivyoivamia Urusi alibakiza km 14 kufika Moscow lakini Starlin alikataa kujisalimisha huku akijua hamuwezi Hitler leo nyie mamburura mmekuwa washauri wa Zelesky eti hawezi kupigana na Urusi kwani Urusi ni naniKama kuna mtu aliwahi kufanya mafunzo mepesi kabisa ya ukinzi binafsi. Utakubaliana na mimi uhai wa mtu unathamani kubwa kuliko chochote.
Kwenye mafunzo hayo unaambiwa unapovamiwa na wahalifu tii yote wasemayo ili ubaki salama. Kama ni wezi wa gari wape funguo haraka, kama ni majambazi wanataka fedha wape haraka ili waondoke ubaki salama.
Zelensky anapambana na watu ambao anajua fika hatoweza kuwamudu badala yake watu wake wanakufa, askari wake wanauwawa, huku wanaweza kusitisha vita na kuzungumza hadi kufikia muafaka na hata maeneo husika kurudishwa.(kama kutakuwa na security guarantee). Kutegemea mashoga ambao raia wao wapo salama na wanataka upigane ili wao wafaidike kwa damu ya raia wako ni kosa.
Zelensky hajashauriwa vizuri
Kukua kwa technolijia na inteligencia kunabkupa fursa kulitambua hilo. Wamepewa sila walizohitaki kila wakati hazijawasaidia badalayake zinaharibiwa. Busara ni kukaa chini na kuongeaNikuulize swali je Vietnam ilivyopambana na Marekani ilijua itammudu Marekani? Mbona mnataka kumrahishia Urusi kuiteka Ukraine kirahisi hivyo swali jingine je Hitler alivyoivamia Urusi alibakiza km 14 kufika Moscow lakini Starlin alikataa kujisalimisha huku akijua hamuwezi Hitler leo nyie mamburura mmekuwa washauri wa Zelesky eti hawezi kupigana na Urusi kwani Urusi ni nani
Pro Nato wanajifanya wanajua uzalendo kuliko uzalendo wanaouonesha kwenye nchi yako povu linawatoka hahahahaKibaraka huyo, atashtuka nchi imekwenda.
Nani kakwambia Zelensky anapigania maslahi ya nchi yake? Mikoa minne imeenda Marekani anazungumzia kuidhoofisha Urusi na sio kurudisha hiyo mikoa. Kwa ufupi UKRAIN inatumika na Wamagharibi kumrudisha nyuma Urusi kijeshi na kiuchumi na kiushawishi bira kujali matokeo yeyote ya UKRAIN . kwahiyo hapo mawili wakifanikiwa kuichosha Urusi sawa Ila wasipofanikiwa ndio hivyo tena vita itaisha na mikoa ndio ishaenda bure bira ya kutimia lengoZalensky anapigania nchi yake unataka kukubali kirahis ni ngumu yuko sahii
Huyo domo zege sio wa kumjibu. Kumjibu ni kujitia unajisiKijana mpuuzi,ahadi ya kwanza ya Zelensky kwenye uchaguzi ilikuwa kufanikisha Ceasefires eneo la Donbass republics na ndicho alichotumwa na waUkraine
Hayo mengine walimtuma mashoga wenzako wa NATO, (mpiga nyeto ni shoga)
Hatokuelewa maana hajui dunia inapotoka ,iliposasa na inapoenda ye yupo shabiki kama shabiki wa ngumi tuNani nasema Ukraine ni Urusi?
Nani kakwambia Zelensky anapigania maslahi ya nchi yake? Mikoa minne imeenda Marekani anazungumzia kuidhoofisha Urusi na sio kurudisha hiyo mikoa. Kwa ufupi UKRAIN inatumika na Wamagharibi kumrudisha nyuma Urusi kijeshi na kiuchumi na kiushawishi bira kujali matokeo yeyote ya UKRAIN . kwahiyo hapo mawili wakifanikiwa kuichosha Urusi sawa Ila wasipofanikiwa ndio hivyo tena vita itaisha na mikoa ndio ishaenda bure bira ya kutimia lengo
Tatizo kubwa la vijana wa kiafrika sio wapambanaji yaan watu wanataka zelensky a-surrende ili awafurahishe mashabiki wa putinNikuulize swali je Vietnam ilivyopambana na Marekani ilijua itammudu Marekani? Mbona mnataka kumrahishia Urusi kuiteka Ukraine kirahisi hivyo swali jingine je Hitler alivyoivamia Urusi alibakiza km 14 kufika Moscow lakini Starlin alikataa kujisalimisha huku akijua hamuwezi Hitler leo nyie mamburura mmekuwa washauri wa Zelesky eti hawezi kupigana na Urusi kwani Urusi ni nani
Kachoka kivip nawakati vita vinaendelea na bado ukraine wanaumilik wa nchi yaoWewe mpaka sasa unaonaje, kati ya US na Russia nani anaonekana kuchoka tayari?? Afu sio US tu kumbuka ni NATO wote (30 nations).
Vita vya russia na ukraine vimeanza 2014 kipindi hiko zelensky ni comedian hana hata mpango au wazo la kuwa raisNani kakwambia Zelensky anapigania maslahi ya nchi yake? Mikoa minne imeenda Marekani anazungumzia kuidhoofisha Urusi na sio kurudisha hiyo mikoa. Kwa ufupi UKRAIN inatumika na Wamagharibi kumrudisha nyuma Urusi kijeshi na kiuchumi na kiushawishi bira kujali matokeo yeyote ya UKRAIN . kwahiyo hapo mawili wakifanikiwa kuichosha Urusi sawa Ila wasipofanikiwa ndio hivyo tena vita itaisha na mikoa ndio ishaenda bure bira ya kutimia lengo
Hata silaha za russia zinaharibiwa au umesahau vile vifaru russia walivyoviacha walivyofail kuchukua kiev wakaingia mitinKukua kwa technolijia na inteligencia kunabkupa fursa kulitambua hilo. Wamepewa sila walizohitaki kila wakati hazijawasaidia badalayake zinaharibiwa. Busara ni kukaa chini na kuongea
Hata mimi nipenda uzalendo na ujasiri wa Zelesky yule ni myahudi na sifa ya myahudi hajisalimishi ni mapambano kwenda mbeleTatizo kubwa la vijana wa kiafrika sio wapambanaji yaan watu wanataka zelensky a-surrende ili awafurahishe mashabiki wa putin
Maisha ni kupambana na sio kukubali kirahisi zelensky ni jasiri vibaya mno napenda uthubutu aliokua nao uleo ndo uanaume
Ile courage aliyokua nayo mwanzon hapana sio ya kawaida kaonyesha ujasiri when all odds are against himHata mimi nipenda uzalendo na ujasiri wa Zelesky yule ni myahudi na sifa ya myahudi hajisalimishi ni mapambano kwenda mbele
Hivi una sifa za kuitwa mwanamke kweli. Wewe utakua mwanaumme wa dar aisee. Yaan ukivamiwa na jiran yako Kwa kua ana uwezo unasalenda na kukabidhi family yako na mji wote. Halafu unajiita ni baba wa familia kweli?Kama kuna mtu aliwahi kufanya mafunzo mepesi kabisa ya ukinzi binafsi. Utakubaliana na mimi uhai wa mtu unathamani kubwa kuliko chochote.
Kwenye mafunzo hayo unaambiwa unapovamiwa na wahalifu tii yote wasemayo ili ubaki salama. Kama ni wezi wa gari wape funguo haraka, kama ni majambazi wanataka fedha wape haraka ili waondoke ubaki salama.
Zelensky anapambana na watu ambao anajua fika hatoweza kuwamudu badala yake watu wake wanakufa, askari wake wanauwawa, huku wanaweza kusitisha vita na kuzungumza hadi kufikia muafaka na hata maeneo husika kurudishwa.(kama kutakuwa na security guarantee). Kutegemea mashoga ambao raia wao wapo salama na wanataka upigane ili wao wafaidike kwa damu ya raia wako ni kosa.
Zelensky hajashauriwa vizuri
Wewe ni mjinga sana na ndio maana mnakufa au mnauwawa kwa sababu ya simu ya kitochi. Na endelea hivyo hivyo utuachie mkeo na mabinti zakoHivi una sifa za kuitwa mwanamke kweli. Wewe utakua mwanaumme wa dar aisee. Yaan ukivamiwa na jiran yako Kwa kua ana uwezo unasalenda na kukabidhi family yako na mji wote. Halafu unajiita ni baba wa familia kweli?
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Uliwahi kujiuliza mateka wanatoka wapi. Mkizidiwa weka silaha chini ni principle ndogo. Endelea maana hata hujui kama uhai wako unathamani kuliko kitu chochoteHata silaha za russia zinaharibiwa au umesahau vile vifaru russia walivyoviacha walivyofail kuchukua kiev wakaingia mitin
Kwenye vita kila upande vivyaa vibaharibika tujaribu kutumia mantiki kwenye kujenga hoja
Yaan wewe ni sawa tu mwanamke. Kwan hao wanaokua wao hawafi. Unaogopa kufa Kwa ajili ya kuipambania family yako?Wewe ni mjinga sana na ndio maana mnakufa au mnauwawa kwa sababu ya simu ya kitochi. Na endelea hivyo hivyo utuachie mkeo na mabinti zako
Fatilia kampeni zake zilizompa nafasi ya uraisUngekuwa wewe ndio Zelensky ungefanya nini?. Kuwa kiongozi ni gharama kuliko kuwa mfuasi, ndio maana dunia ina viongozi wachache sana wa aina ya Zelensky.