Ona plaster ya Viwango

Fundi rangi

JF-Expert Member
Sep 11, 2014
3,527
1,210
Ndugu yangu kwenye ujenzi moja ya kitu muhili ni Plaster. Hapa nitakuonesha picha jinsi ambavyo tunaweza kufanya za viwango.
Utatupata kwa 0766111212

Screenshot_20230709_092743_Gallery.jpg
Screenshot_20230709_092717_Gallery.jpg
Screenshot_20230709_092730_Gallery.jpg
20230707_131130.jpg
20230625_122534.jpg
 
Hiyo Haibanduki? Haivimbi Baada Ya Miaka Ama Sound
Hiyo Imetoka Kupakwa Rangi InakaA Miaka 99
 
Kwenye jamii Forum ya simu utawezaje kutumia browser ya chrome wakati hii forum inajitegemea kama App.
Au nitumie computer?
Natumia simu ya Sumsung Note 8
nenda playstore download chrome browser kupitia simu yako kisha search jf kweny web ulog in kupitia web kwa sim yako tatizo la picha utakua ume malizana nalo App unayo tumia kweny kuonesha picha kwa sasa imekua tatizo na Melo amekaa kimya ajatolea ufafanuzi hili suala kabisa
 
Asante mkuu nitajaribu. Ngoja jiikumbuke password yangu
 
Back
Top Bottom