Ona msaliti Lema

Wanaharakati ndio wamempotezea ‘Alute Lissu’ maisha yake.

Like seriously CDM inahitaji strategist sio kuendeshwa na waropokaji wanaotafuta kiki.

Mnaponza watu na madhara ya upumbavu wenyewe ni serious.
Wewe kama umebanwa uharo tafuta choo ukahare au kama umezoea kupigwa pipe mabasha wapo.

Humjui Alluthe kwanza ni mwana Ccm na wakili wa Ccm wakati anauguwa hukuleta kundu lako kuandika pumba zako.

Koma kuingilia misiba ya watu usiyoijuwa, msiba wa Allute ni wa Familia siyo wa Chadema wala chama chake cha Ccm.
 
Wanaharakati ndio wamempotezea ‘Alute Lissu’ maisha yake.

Like seriously CDM inahitaji strategist sio kuendeshwa na waropokaji wanaotafuta kiki.

Mnaponza watu na madhara ya upumbavu wenyewe ni serious.
Acha propaganda za kitoto. Alute ni mgonjwa muda mrefu hata yeye kasema hapo awali. Na familia yake imesema hivyo pia, ila wewe inakuja na stori za kijinga.
 
Nani anaye waua? Wewe na Lema akili zenu zote ni sawa. Anayejua kwenu ndio mzuri anayeuawa ndio mbaya.

Sasa ukiona mazingira sio mazuri unabidi kufanyaje


Then siasa zetu za Africa ni siasa ambazo ni maigizo na ujanja ujanja

Ni MTU mjinga pekee atakubali kujiingiza ktk hizi siasa bila kuwa na ajenda binafsi za kupata pesa

Refer , Mrema , Mbowe , lipumba , mbatia , cheyo na Sasa Lema


Vijana wanabidi kuwa makini ikiwezekana waachane na siasa
 
Taahira mwingine hata sijui umeandika uthenge gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…