stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,883
- 4,484
Madenge alimuuliza mwalimu, Hivi ukichanganya Omo na Foma znatoa povu??
Mwl akamjibu kwa hasira swali gani la kipuuz hilo!!!,zinatoa ndio kwani zote ni sabuni
Madenge akamjibu ww ndio mpuuz na majibu yko pia...zitatoa povu vp wakati hatujaweka maji....??
hebu ongeza na nyngn za madenge tufurah pamoja