Usijali mkuu hapa tuko kusaidiana wewe kachukue mali yako afu jikite kwenye kuwekeza zaidi achana na mapenz kwa sasa ukiwa unaangalia nani anafaa tena katika tasnia ya ndoa kumweka awe mke mwenye uhitaji wa ndoa kaka.
mkuu kachukue gari yako mapema. ukichelewa hulikuti.
Achana nae atakutia gundu tuu chukua gari lako sepa wanawake wapo wengi
Gari issue kubwa sana eeh?!
jiulize sasa... .
He!!!! Si bure wewe. Kuna aina nyingi za limbwata
teh teh teeh My wife to be unanichekesha :tonguez: :tonguez:..........!!
Limbwata kama uliyonipa mie...!! Yaani nakupenda mpaka nahisi moyo unataka kuchomoka.