Use your senses sometimes. How comes usote kwenye madaladala huku una gari na umelihonga kwa mtu baki tu ambaye huna mkataba naye? Shule yako haijakusaidia rudi kasome tena. Hivi nikuulize, wazazi waliokuwezesha umewanunulia japo bodaboda ya kuwarahisishia shughuli zao au umeishia kuhonga tu? Laana hiyo.
Ujinga wa kuzaliwa hautoki hata uwe na degree ngapi.
Inawezekana mama yake aliyemzaa hata khanga ya kuvaa hana au kitinda mimba wa mama yake hata ada hataki kusaidia kumlipia.
gari yako aina gani
sikiliza wewe mpotezee huyo kachukue mali yako mbona unalialia na mapenzi bwana?
Na ukienda mtafute mtu mkali kama Kubwa la maadui(Lara1) nawe uende naye ukachukue gari yako akusaidie kutia kitanzi. Unyama unyamani mkula maisha mafupi haya stress za nini bwana.
una umri gani?
sikiliza wewe mpotezee huyo kachukue mali yako mbona unalialia na mapenzi bwana?
Na ukienda mtafute mtu mkali kama kubwa la maadui(lara1) nawe uende naye ukachukue gari yako akusaidie kutia kitanzi. Unyama unyamani mkula maisha mafupi haya stress za nini bwana.
Kwa nini hukumzalisha mapema kama kweli unampenda kufa na kupona? wanawake kama hao dawa yao ni kuwazalisha faster faster hata akikuacha hamna shida....sasa bhana...siku zote nawaambia hapa...Mwanaume lazima upanue moyo wako uwe kama jalala katika mahusiano.
Katika wote,we ndo nimekukubali,thanks bro!
Aisee Mkuu Rrondo acha hizo, tena aenda fasta akachukue gari lake bhana, ya nini kuzinguana maisha yenyewe ndo haya??
kuna kamsemo kanasema hivi: Life is too short and nice, enjoy to the fullest!!!! achana na presha huku yeye akivinjari.
kaa chini utafakari then chukua hatua yenye kujenga especially your afya.