lukatony
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 689
- 569
Nimekuwa na mahusiano na dada mmoja kwa miaka minne. Ni msomi tu mzuri na mrembo. Amenifanya boya sana baada ya mimi kumpenda. Tukiwa kwenye mahusiano ya kuelekea kufunga ndoa kanidhalilisha sana baada ya kuniacha.
Mahali anapofanyia kazi ni mbali na anapoishi, wakati mimi napofanyia kazi c mbali sana.Tunavyoishi kuna umbali na mikoa ni tofauti ila tumekuwa tukitembeleana kila mara. Juzi kati, kama miezi sita iliyopita nilinunua gari, basi katika mazingira ya umbali kazini kwake na daladala hazifiki basi akaniomba awe anaitumia hiyo gari.
Kwa moyo mmoja nikampa, huku mimi nikiendelea kutembea kwa miguu. Juzi tukagombana alipokuja kunitembelea kisa kukuta sms kwenye simu yake jamaa anatongoza na yeye ana muentertain vizuri tu. Kwa mtiririko wa sms ni alishakubali. Sasa baada ya kurudi anakofanyia kazi, akaniambia kuanzia sasa mimi na wewe basi, njoo uchukue gari yako.
Sasa mi bado nina hasira, sijaenda kuchukua maana naweza kumdhuru. Sasa katika muktadha huu nifanyeje? Niende, nimtume mtu au? Maana nimemuomba atulie tuyasolve kakataa.