Tunataka majibu kutoka serikalini na sio kusoma habari za kenya.
Gharama si kitu, kuna maswali mengi ya kujibu.
- Alikuwa likizo?
- Alitumwa na nani?
- Alikabidhi majikumu kabla ya kuondoka?
- Na je Raila ni chaguo la CCM?
- Akishindwa itakuwaje, chama kingine hakitapewa support kutoka Tanzania?
- Kama hakuwa likizo nani alitoa ruhusa maana mshahara wake unaendelea kulipwa kwenye jasho letu kwa matumizi mabaya ya muda.
Penye makosa pakosolewe!