utajitambuaje uko kundi gani? si mpka demu wangu aniambie au? nataka nijitambue niko kwenye namba ngapi. 1,2,or 3 ngoja niseme na chausiku ataniambia niko wapi
kwa wale ambao hawa-do mpaka wawe boosted na porn movies je? kundi gani hao?
mito wanaume bana sijui wakoje but thanks sana kwamba GY yeye ni namba 1. na kwakua mm niko wa stail hizo basi tabu sipati hata kidogo.
kwetu mchezo wa matusi lazima uchezwe masaa 4 hadi 5 kwa siku moja. inaitwa super excellent! angalizo dont try this kama siyo mtu wa aerobics
mito, ina maana kundi la nne hata hizi dawa zetu sa asili za kuongeza nguvu za kiume kama MZAKARU, ZOKA, FARU, MKUYATI, DUME, SHOKA, KAMANYOLA, KAMCHAPE na kadhalika, zote hazifui dafu kweli?
Hiyo ya dawa ya KAMCHAPE ukiinywa na supu na nundu ya ng'ombe, hailali mwanawane..................mkuu inaonekana wewe ni mtaalamu wa dawa za kuongeza nguvu za kiume.Duu kuna dawa inaitwa KAMCHAPE.
Mi wangu ni kati ya namba 1-2.
Kwa hiyo criterion zilizo tumika hapa ni ability to create and sustain an erection, sio?
Ila kuna categorization inayo tegemea uwezo wa kukaa for long before ejaculation, kuna ambao unategemea ujuzi wa preliminaries, mngine wa ability to 'deliver' in different positions, ingine ya ukubwa/udogo wa uume (@Boflo alianza hii leo jukwaa la wakubwa), kuna inayo tgemea creativuty and inovation skills (hapa ndio wale wa Kongosho na Preta wanakuja) etc.
I think that the best researches ni zile zinazo combine two or more of these criterion. sasa itakua hujwawatendea haki wanaume if you reduce them to just 4 categories, each of them has his own level of 'performance' based on a combination of many criterion and his sexual partner preferences.
kwa wale ambao hawa-do mpaka wawe boosted na porn movies je? kundi gani hao?
Kumbe unaye......:thinking:
Aii Kaizer, ninae bwana la'aziz kipande cha mzizi wangu!! tena ujiandae kutambulishwa. mpenzi wangu huyu ni rijari, nguvu asili hamna madiko diko..he he