OMUKWANO: Another Hit Song From Kings Music By Tommy Flavour

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
3,740
7,692
Jana Alikiba alikua Live kwenye kipindi cha Homa Tve akitoa burudani kwa wapenzi wa Mziki mzuri, Pia alipata nafasi ya kumtambulisha msanii wake mpya Tommy kwa mshitukizo wa ngoma yao Mpya kabisa ya Kuitwa OMUKWANO Ngoma kali kinoma

Alikiba Profesa wa Mziki wa Bongo fleva

G.O.A.T wa Mziki wa Bongo Fleva

Team Mziki Mzuri


 
Tusisahau kuzingatia maelekezo anayotoa Waziri wa Afya ya kujilinda na ugonjwa mbaya wa Corona tusipuuzie Hilo watanzania.
 
Kwanza nikupongeze kwa kufuma uzi wako bila kuweka wala kuponda Upande wa pili.

Ila utaona Kuna watu wataanza kuleta Habari nyingine kwenye uzi Huu.

Sema hyo stage kwakweli E wamejitahidi Sana. Kama mbele yaaani.
Pamoja mkuu.. Wale wazee wa fujo
 
Leo Ali Kiba atakuwa na interview pale Wasafi FM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…