Hapo umaarufu umeongezeka mara dufu na tena siku akigombea ubunge anaonekana shujaa mkubwa, kilichowapa akina sugu mileage ni nyimbo za kiana harakati, leo bongo hakuna msanii wa kumsemea mwananchi kwa omondi hapo ujumbe umefika mbali sana
Wakati hapo ndo anatengeneza jina na umaarufu zaidi...
Bora ya huyo anatengeneza jina kwa kuwatetea wananchi...sisi huku bongo watu wanapata umaarufu kwa connection za uchi, umalaya nk mfano mtu kama kajala

Ndio kazi ya celebrity Yuko sahihi , mtu maarufu ndo hufikisha ujumbe Kwa nguvu Zaid kuliko hata kundi la watu buku.... Sisi humu ni kusifia tuu , uchawa na wakat mambo hayapo poa... Ney wa mitego ndo msanii anayedhubutu
Bongo ushawahi kusikia au kuona msanii kaandamana hivyo au kulalamika kuhusu hali ya maisha
Sana sana wao wanawambiaa,msikose kuja kwwnye uzinduzi wa jambo letu,mtu support