warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,422
Yani hili jamaa linanikera, linapenda sana raha badala ya kufanya kazi, lenyewe kutwa kubadilisha ndege, mara Dubai, US, Italy, London, khaa! Tumekuchoka bhana, fanya kazi mtoto wa kiume hizo show off waachie akina Wolper na wema ,mbona wenzio akina diamond hawana huo upuuzi, wenzio wakisafiri kikazi kama bata sio kama unavyoendekeza wewe, hata kama unalipiwa bhana, unaboa sana, mxiew