Ommy & Diamond mporomoko mpya wa muziki


Crocozilla

Crocozilla

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
472
Likes
220
Points
60
Age
39
Crocozilla

Crocozilla

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
472 220 60
Leo ni upande wa pili wa stori ya jana. Je hapa muziki wa Tanzania unaelekea kwenye njia sahihi au ndo tumepata njia sahihi ya mteremko kuelekea shimoni?
 
Crocozilla

Crocozilla

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
472
Likes
220
Points
60
Age
39
Crocozilla

Crocozilla

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
472 220 60
Sijapenda kurudia yale yanayosemwa redioni huko clouds radio. Je unashauri nini kwa watu hawa?
 
adna yuzo

adna yuzo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
1,037
Likes
562
Points
280
adna yuzo

adna yuzo

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
1,037 562 280
diamond namkubali ila ni mshenzi kiukwel ana wivu wa maendeleo lakin c kama anavyofanya pia naamin ommy dimpoz anaongea vitu vya ukweli kabisa.
 
Crocozilla

Crocozilla

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
472
Likes
220
Points
60
Age
39
Crocozilla

Crocozilla

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
472 220 60
Home»Entertainment»Ommy Dimpoz ajibu tuhuma za ‘ushoga’ alizotupiwa na Diamond
diamond-na-ommy-d
OMMY DIMPOZ AJIBU TUHUMA ZA ‘USHOGA’ ALIZOTUPIWA NA DIAMOND
BY GHATI ON NOVEMBER 24, 2016 ENTERTAINMENT
Ni kama kiza kimeingia kwenye Bongo Fleva ambapo kwa mara ya kwanza wasanii wakubwa wamejikuta wakitupiana tuhuma ‘za aibu’ hadharani, wakiuchana-chana uswahiba wao.

Siku moja baada ya Diamond Platinumz kumwaga mboga akidai swahiba wake wa zamani, Ommy Dimpoz alikuwa na tabia za kishoga na kwamba alitaka ‘ampumulie’ lakini alipokataa ikaanza chuki, leo Dimpoz amemwaga mboga kusawazisha matuta yaliyoachwa.

Akifunguka kupitia XXL ya Clouds Fm, Dimpoz amekanusha vikali tuhuma hizo na kueleza kuwa hayo ni maneno ambayo mtu hachaguliwi kuyasema na kwamba anachokifanya ni kutumia busara zaidi ili asijikute ndiye anayeharibu zaidi.

“Ili mradi unajua kabisa wewe ni nani na unafanya nini haiwezi kukuumiza. Na lazima pia uwe mstaarabu kwa sababu unaweza kutumia kitu hasira, ukapaniki ukajikuta wewe ndiye unaenda nje ya msitari kabisa.

“Kwa sababu kama unavyojua, mama zetu hawa wanapenda vijana, wanapenda ujana, wako Instagram na humu. Unaweza ukajikuta umepata hasira umem-DM mama wa mtu, kesho mtu anarudi show anakukuta wewe tena na taulo anaanza ‘kumbe yule ninayempumlia kumbe baba!’” Alisema.

Mkali huyo wa ‘Kajiandae’ alisema kuwa tangu Diamond alipomtolea kashfa hiyo amekuwa akishambuliwa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya watu wanaomuita shoga lakini ameendelea kuwa mvumilivu.

Msanii huyo alieleza kuwa chanzo cha mgogoro wao ni muziki akidai Diamond alikuwa akimbania kumtambulisha kwa wasanii wakubwa kila alipokuwa akimuomba huku akimzunguka kwa baadhi ya mitego yake aliyokuwa ameiweka kupata collabo.

Alidai kuwa hata ujio wa Davido mwaka jana, yeye ndiye aliyekuwa amepanga kufanya nae collabo aliyoambiwa alipie dola 3000, lakini baadae Sallam ambaye ni meneja wa Diamond alimueleza kuwa Diamond ameamua kufanya collabo hiyo na kwamba anailipia dola 5000, hivyo akarudi nyuma.

Aliongeza kuwa kilichochea moto wa bifu kati yao ni yeye kufanya video ya ‘Wanjera’ na Wema Sepetu. Alisema kuwa Diamond ambaye alidai wakati huo alikuwa ameachana naye alikasirishwa na kitendo cha yeye kwenda na Wema bila kumjulisha. Hali iliyozua ugomvi mkubwa kati yao.

Kwa jicho la tatu, kama utakuwa unashawishika na maneno ya Dimpoz, hiyo ilikuwa sababu iliyotibua sababu nyingine za awali kati yao.

Kadhalika, Dimpoz alikanusha kile kilichosemwa na Diamond kuwa anatuma watu wamuombee msamaha, na badala yake ameeleza kuwa Meneja wa Diamond ndiye huwa anamtaka wayamalize ili maisha yaendelee kwa Amani kati yao.

Jana, Diamond Platinumz aliamka na akili zake binafsi na kuamua kuwachana ‘live’ wabaya wake kupitia XXL ya Clouds FM huku akipigia mstari post yake iliyodaiwa kumlenga Ommy Dimpoz akidai ana tabia za ushoga… hali iliyomtoa pangoni Dimpoz.

SHARE THIS:
Click to share on Twitter (Opens in new window)Share on Facebook (Opens in new window)Click to share on Google+ (Opens in new window)
COMMENTS

0 comments
 
muhomakilo jr

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Messages
10,762
Likes
4,014
Points
280
muhomakilo jr

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2013
10,762 4,014 280
Mwaga mboga,mwaga ugali.
 
lamisa

lamisa

Senior Member
Joined
Oct 15, 2016
Messages
186
Likes
152
Points
60
Age
27
lamisa

lamisa

Senior Member
Joined Oct 15, 2016
186 152 60
Hapo chanzo cha ugomvi ni MADAME hakuna kingine, mi naona watuliza Asira wafanye kazi coz hapo ugomvi tumeshagundua chanzo chake.
 
harakat

harakat

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
2,903
Likes
781
Points
280
harakat

harakat

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
2,903 781 280
Rafiki Wa Jana ndiye adui mkubwa kesho
 

Forum statistics

Threads 1,272,653
Members 490,095
Posts 30,456,201