Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,999
Wamebana wameachia!!! wamebana wameachia!!!
Mapambazuko yamefika
Ya siku tulongojea
Wananchi wameamka
Hofu kuindolea
Mioyo itashtuka
Kwa yale yatatokea
Tanzania itashinda, Tanzania Itashinda!!
Ndoto tuloiotea
Sasa yaanza timia
Furaha inakolea
Na shangwe yakifania
Pole pole twasogea
Kwaheri kuwaagia
Tanzania itashinda, Tanzania itashinda
.... just to add more drama and pressure... Ninaanza kupata taarifa za ndani sehemu mbalimbali.. stay tuned... Karibu halmashauri 7 za mijini zimeenda Chadema!!! Arusha ya kwanza..
AAAHHAHhahahh mwana kjj yaani umeshusha mashairi ndani ya dk mojaMapambazuko yamefika
Ya siku tulongojea
Wananchi wameamka
Hofu kuindolea
Mioyo itashtuka
Kwa yale yatatokea
Tanzania itashinda, Tanzania Itashinda!!
Ndoto tuloiotea
Sasa yaanza timia
Furaha inakolea
Na shangwe yakifania
Pole pole twasogea
Kwaheri kuwaagia
Tanzania itashinda, Tanzania itashinda
.... just to add more drama and pressure... Ninaanza kupata taarifa za ndani sehemu mbalimbali.. stay tuned... Karibu halmashauri 7 za mijini zimeenda Chadema!!! Arusha ya kwanza..
safi kabisa!!!!!
Mkuu aminia,Mapambazuko yamefika