BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Feb 3, 2012 #1 nilipita shule moja huko morogoro katika wilaya ya MATOMBO, nikakutana na mwl mkuu, akanipeleka kwake.. ndio hapa,... tanzania kuna sehemu ukifika unaweza kulia kabisa...ukiwa mjini huwezi jua hilo kabisa!
nilipita shule moja huko morogoro katika wilaya ya MATOMBO, nikakutana na mwl mkuu, akanipeleka kwake.. ndio hapa,... tanzania kuna sehemu ukifika unaweza kulia kabisa...ukiwa mjini huwezi jua hilo kabisa!
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,484 Feb 3, 2012 #2 Leo ndio unajua? Mbona maisha ya kawaida kabisa hayo kwa standard zetu.
chapaa JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 2,349 Reaction score 206 Feb 3, 2012 #3 Ndo maana niliamua kuwa mwalimu wa tuition nilisha achana nao siku nyingi!
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,961 Reaction score 98,073 Feb 3, 2012 #4 Hawa viongozi wetu kama wameshindwa kazi kwa nin wasiachie ngazi kupisha watu wanaoweza ,kwanin wasiombe ule mchakato wa dr slaa jinsi ya kufanya cement na bati viwe sh5000?
Hawa viongozi wetu kama wameshindwa kazi kwa nin wasiachie ngazi kupisha watu wanaoweza ,kwanin wasiombe ule mchakato wa dr slaa jinsi ya kufanya cement na bati viwe sh5000?
Maundumula JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 7,550 Reaction score 3,092 Feb 3, 2012 #5 Hiyo ndio bongo zaidi ya uijuavyo dogo tembea uone