Ndugu wanajamvi kama mtakumbuka mapema mwezi Julai niliwasilisha mada au maoni yangu kuhusu Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa Idara ya Uhamiaji. Suala hilo lilipata wachangiaji wengi na hatimaye Wizara husika ikalifanyia kazi na kuufuta usaili huo.
Hoja yangu kuu kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ni hatua gani ilichukuliwa kwa wale wahusika wakuu walioitia hasara Serikali kwa kuvuruga usaili ule au ndio funika kombe.
Hadi sasa hakuna tunachojua kuhusu hatua zlizochukuliwa kwakuwa wahusika walewale hivi karibuni wamelalamikiwa sana kuhusu upandishaji wa vyeo vya Idara hiyo na malalamiko makubwa yakitokea Zanzibar.
Wahusika walewale wamekuwa wakifanya hamisho mbalmbali ambapo Kama huna fedha basi ujue umekwisha kwakuwa mkuu wa kitengo hicho yeye mwenyewe anasema aliacha hela yake ya Uhamisho yote kwa Afisa aliyemhamishia Makao Makuu wakati ule.
Ndugu Katibu Mkuu mara nyingi tukiandika katika mitandao ya Kijamii mnadhani ni majungu lakini kuna Ombwe kubwa sana la uongozi Idara ya Uhamiaji.
Mabadiliko aliyoyafanya Mhe Rais hayana maana yoyote hadi sasa kwakuwa huyu aliyepo naye kashindwa na sababu ya kushindwa kwao ni kwamba Bwana Mgonja anawazidi kete.
Bwana Ulungi alitolewa kwasababu ya Bwana Mgonja na hata huyu ameonesha udhaifu mapema kwakuwa aliwahiwa nayeye haijui Idara na hata ilifikia Bwana Mgonja alimshauli bwana Ambokile apinge uteuzi wa Rais kwa kumteua Saidi Kamugisha badala ya Kipenzi chake Bibi Manyanga na bwana Ambokile alikubali ushauri huo mbovu ambao ulipigwa chini.
Bwana Mgonja amemteua bwana Nyanda kuwa Afisa wa Mkoa wa Manyara huku akijua kuwa Nyanda ni mlevi na mvuta Bangi. Amempa nafasi hiyo kwakuwa alimsaidia aliposimamishwa kazi.
Hivi mtu kama huyo anapewa nafasi kubwa kama hiyo hakuna taarifa zake na usalama wa Taifa wanafanya nini.
Idara sasa hivi imegawanyika kwakuwa Bwana Mgonja hamtaki Kamishna wa mipaka toka Zanzibar na anawashawishi viongozi wenzake kumtenga ndugu huyu ambaye ni mchapakazi na mbunifu.
Ukweli ni kwamba Idara ina Ombwe kubwa la uongozi kwakuwa inashindwa hata kujifunza kwa Polisi ambao wao wanaonekana wamejipanga vizuri.
Hadi leo Idara inaongozwa na wahitimu wa kidato cha nne ambao hawana elimu zaidi ya hiyo, wanaweza kuchangia nini katika masuala ya kisomi na kitaalamu.
Angalia Viongozi wa mikoa kama Morogoro Singida Tanga Arusha JNIA KIA na wengine wengi ni Kidato ca NNe ambao hawana sifa. Hamjifunzi kwa vymbo vingine vya Ulinzi na Usalama.
Mwisho Idara hii itaendelea kuwa msindikizaji kakuwa haitaki kubadilika. Na waswahili husema Mke wa Kaisari hapaswi kusingiziwa uzinzi.
Wasalaam Moforoo