Ombi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by OGOPASANA, Jun 8, 2012.

 1. OGOPASANA

  OGOPASANA JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 265
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Habari wakuu, nafikiri mtakubaliana nami kuwa idadi ya members wa JF inaongezeka kila dakika, na wengi wao si watundu wa kuweza kuperuzi nyuzi zilizotumwa siku, miezi au miaka ya nyuma kitu kinachopelekea topics kurudiwarudiwa mara kwa mara. Nafikiri itakuwa vyema kama kutawekwa STICKY POST ya mada hii.." Nina kiasi ..., nifanye biashara gani" yaani biashara gani mtu anaweza kuifanya kwa kiasi alichokuwa nacho na wadau wakawa wanachangia katika mfungu ya viasi vya fedha tofauti tofauti mfano:
  1 - BIASHARA YA KUFANYA KWA MTAJI WA MILIONI 1
  1 - BIASHARA YA KUFANYA KWA MTAJI WA MILIONI 3
  1 - BIASHARA YA KUFANYA KWA MTAJI WA MILIONI 5
  1 - BIASHARA YA KUFANYA KWA MTAJI WA MILIONI 10
  1 - BIASHARA YA KUFANYA KWA MTAJI WA MILIONI 20
  1 - BIASHARA YA KUFANYA KWA MTAJI WA MILIONI 50... NK ili iwe rahisi kwa members wapya kupata msaada wa ushuri na kupata nondo specifically kulingana na hitaji lake.

  nawasilisha.
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  ila na sisi ni wavivu sana wakusoma, nina uhakika ukitumia wiki nzima utamaliza karibia thread zote za biashara humu make hazina michango mingi kama za siasa,

  Na kuhusu mitaji, Mimi nazani kikubwa sio mtaji bali startegies ambazo umekuwa umejiwekea katika ku implement hiyo Aidea yako, Mfano.

  1. Ukiwa na laki 1 unaweza fuga kuku na bado ukiwa na Bilioni 1 unaweza fuga kuku

  Tatizo sio mtaji tatizo ni je hiyo aidea yako utaitekereza vipi? unaweza ukawa na Milioni Moja na bado ukaagazi Magari ya kuuza kutoka DUBAI na unaweza ukawa na Bilioni Moja ukashindwa kufanya hiyo biashara,
   
 3. OGOPASANA

  OGOPASANA JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 265
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Mkuu KOMANDOO, huu ndo adui namba mbili katika nchi hii, tunatakaga kila kitu kiwe kwenye bongo muvi.
   
Loading...