Ombi/ushauri kwa makampuni ya ving'amuzi

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,434
5,088
Ni wazi kuwa suala la malezi sasa limekuwa changamoto sana. Unaweza kumchunga mwanao au mdogo wako ila iko mianya mingi sana anayoweza kuharibika japo kwa kitu kidogo.

Wazo langu ni kwanini hawa wa ving'amuzi wasitupunguzie kazi kidogo, katika ving'amuzi vyao vile na option ya nywila (password) kisha uwe na uwezo wa kufunga baadhi ya channels kwa kuwa na mfumo wa Blacklist (channel zitakazozuiwa/ fichwa) au Whitelist (kuchagua channel ambazo unataka tu zionekane).

Hii itasaidia hata kwa wale ambao hawana muda wa kumonitor contents zinazooneshwa katika channels zisizo na maadili au kutoendana na itikadi ya mtu.
 
Hii huduma ipo kwa asilimia kubwa. Kwenye remote yako kuna mahali pameandikwa PARENTIAL GUIDING. Tafuta hiyo option kisha fuata maelekezo utapata unachokitaka mkuu.
 
Back
Top Bottom