Waziri Mkuu Mstaafu (Mmoja) amenukuliwa akisema, "hakuna haja ya kuanza upya mchakato wa katiba mpya au kutoa elimu ya katiba Kama Serikali ilivyo sema kupitia kwa Waziri wa Sheria na katiba.Badala yake Serikali ifanye marekebisho machache, kwenye maeneo machache yanayolalamikiwa na watanzania,ili kuwezesha kufanyika kwa uchaguzi huru na wa haki",ili maisha yaendelee badala ya kuingia gharama kubwa kutoa elimu nk. Wapambe waache kumpotosha Rais, kwa masilahi yao binafsi ya kutaka madaraka Serikalini au kupata fursa ya kufanya biashara na wawekezaji - kwa masilahi binafsi