Ombi:- msemaji wa Azam FC ajipime.

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Nimekuwa sifurahishwi na msemaji wa timu ya Azam hasa katika mechi mbili zilizopita.
Mara kwa mara hujunja moyo ya sie wapenzi wa timu hiyo na kwa wachezaji pia. Majuzi timu yetu ilipofungwa goli moja ugenini huku Ethiopia akitoa sababu eti ni uwingi wa mashabiki wao. Ikaja mechi ya ngao ya hisani {?} aliweka mazingira ya kufungwa na timu ya Simba kuwa na mashabiki wengi, tukafungwa.
Jana tumeweza kuishinda na kuitoa mashindanoni timu hiyo ya Ethiopia bila uwanja kujaa washangiliaji.
Nadhani mtu huyu hutujengea mazingira ya kushindwa, AJIPIME.
 
Lln msemaji hatakiwi kutoa habari km hiyo kocha ndie anapswa kutoa maelezo kwann timu imeshinda, kudroo au kufungwa
 
Kutoka kuwa mtuma salam maarufu miaka ya 90 kupitia radio one hadi kuwa mwandishi wa habari na hatimaye msemaji wa Azam.
Jafar Idd nafasi ni kubwa kuliko weredi.
Oh, kumbe!
 
Back
Top Bottom