Ombi maalum kwa ITV na Star Tv

Ombi maalum kwa ITV na Star Tv

Gefu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
6,929
Reaction score
2,567
Kwa kuwa nashawishika kuamini kwamba sababu kubwa iliyochangia kutomrudisha TBC bwa Mhando ni uwazi Mkubwa Wa vipindi vya mchakato majimboni. Vipindi ambavyo kwa kiasi kikubwa vilionyesha uhalisia, sera na uwezo binafsi wa wagombea kuanzia ngazi ya wabunge mpaka rais. Na kwa kuamini hivyo nashawishika kuamini kwa dhati kabisa kuwa kipindi hiki cha MCHAKATO MAJIMBONI hakitapata nafasi katika television yetu ya taifa na kupelekea kikosa haki ya kuwajua wagombea wetu na mtazamo au kusudi linalowasukuma kusimama kutatua matatizo ya majimbo na taifa kwa ujumla.

Kwakuwa hao TBC hawako tayari kusimama kwaajili ya maslahi ya wananchi, nawaomba kwa dhati kabisa nduguzangu Wa ITV na STAR TV kuchukua jukumu hili kwa maslahi ya watanzania wote ili kasaidia kusukuma mbele haki ya kupata habari.

Nawasilisha hoja
 
Ninaunga mkono hoja. Ila. Star tv. Si inamilikiwa na mwana ccm. Labda.ITV radio one
 
Ninashuruku kwa taarifa mkuu. Lakini inaonyesha azuiii. Habari mbaya za chama chake. Kuzungumzwa kwenye kituo chake.
 
Mengi ni mwana CCM pia

...kama alivyoonyesha uzalendo kwenye midahalo ya katiba mpya ingawa wahuni wamebaka mchakato Wa katiba, naamini wanaweza kutoa muda wa kutosha kwaajili ya uchaguzi muhimu sana. Naamini kwa dhati tusipopata watu wa kusimama kwaajili ya watanzania katkka hili basi kunahatari ya mafisadi kukamata nchi na kuiuza kwa mabepari hasa Neema ya mafuta na gesi ndo kitakuwa chanzo.....
 
Hii imekaa vzr hapo tutaziona mbivu na mbichi tafadhar mengi okoa taifa letu kwa kuweka kipindi hiki kutokana na umuhimu wake hasa wakati huu wa kuelekea kwenye uchaguzi
 
Hii imekaa vzr hapo tutaziona mbivu na mbichi tafadhar mengi okoa taifa letu kwa kuweka kipindi hiki kutokana na umuhimu wake hasa wakati huu wa kuelekea kwenye uchaguzi

...naamini Mzee Mengi, Mama Mhavile na Mkurugenzi Wa radio one watakuwa wamesikia kilio/ ombi letu watanzania. Haya mafisadi lazima yaumbike mchana kweupe...
 
Back
Top Bottom