wajameni baada ya kuangaika kwa muda mrefu peke yangu ,sasa naomba niwashilikishe wanajamvi wenzangu;;;NI HIVI kna magame haya ya kampuni ya gameloft hivi yanapatikana website ipi? hususan hili game la SPLINTER CELL CONVICTION....{sio pc ni kwa phone}