Ombi langu kwenu

Ombi langu kwenu

Kafuta

Senior Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
119
Reaction score
29
Dada zetu mnatutia majaribuni sana na nguo zenu za kubana miili..vaeni vizur..au mpunguze walau kidogo.
 
Nguo-za-kubana.jpg
 
Aahhh!!!! Tyta naona unaongea kwa picture hapo tu ndo ninapokukubali, mmhhh!!! Ila hao wadada nao papuchi zimejichora sijui inakuwaje mtu mpaka unatoka nyumbani kwako hakuna hata kukushauri nguo uliyovaa siyo......
 
Last edited by a moderator:
Naona mkuu umejitetea kwa picha kabla kuitishwa,ilikuwa karibu tu nikuitishe. Anyway wadada wenye kuvaa nguo za kubana kama hizi huwa wananikera sana.
 
Back
Top Bottom