Ombi langu kwa Viongozi wa CHADEMA

Ombi langu kwa Viongozi wa CHADEMA

kamanda mlio wengi akina nani - mie mwanaCDM damu ila nasema mbowe sasa basi, inatosha!!!!!!

wewe ni gamba tu,kama kweli mwana cdm,unaweza kutujuza tawi lako la uanachama? na kadi no.yako?
 
wakati Nchaby akijaribu kufafanua akili duni, uelewa butu na masikini wa fikra HAKIKA alikuwa akilenga watu wa aina yako!!
ukweli ni kwamba tupo wanaCDM kibao tu tusiomkubali mbowe na bado hilo halituondolei kuwa wanaCDM, usilazimishe watu wote wafikiri kwa matakwa yako!
vijana wengi tunaamini ktk mabadiliko, ila pia baadhi ya watu tunaamini mbowe HANA uwezo zaidi ya hapo alipo hivi sasa....hivyo tunaamini ktk kamanda mkuu mwenye mawazo mapya kuelekea uchaguzi mkuu mwakani.

mlete baba yako
 
Back
Top Bottom