Kamanda Francis
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 834
- 140
Viongozi wa Chama Changu awali ya yote napenda Kusema Poleni Kwa Majukumu ya Kupambana Kwa niaba yetu Wanyonge wa Taifa hili. Kwa Majina naitwa "Francis Boniface" (24yrs) ni Mkazi wa Kijiji cha Nyansurura hapa Serengeti Mara, pia Mimi ni Katibu Mwenezi wa Chama changu (CHADEMA) ndani ya Kata yetu ya Nyansurura Inayoongozwa na Chadema.
Kabla Sijaeleza Ombi langu, Kwanza natoa Pongezi za Dhati Kwa Viongozi wangu wa Chama Ngazi ya Taifa Kwa Upendo, Hekima, Busara, Umoja na Mshikamano wao Katika Kuijenga na Kuieneza Taasisi hii Iliyobeba Matumaini ya Wanyonge wa Taifa hili. Lakini Kubwa zaidi natoa Pongezi Kwa Mhe.Mbowe Kwa Jinsi anavyoepukana na Wabaya wake Wanaomchoma Mikuki ya Maumivu Ili Kumkatisha tamaa.
OMBI:Viongozi wangu wa Chama, nawaomba sana, Kwanza:Mhe.Mbowe aendelee Kuwa Mwenyekiti Uchaguzi ujao. Pili:Hakikisheni Mnajikita zaidi Kupambana na Maswala ya Kitaifa, huku Mkizipa Kisogo Propaganda za akina "Mwigulu" ambao Wanasumbuliwa na tatizo la Presha ya Kumwona Mhe.Mbowe akiwa Mhimili wa Chama.