Kwa kuanzia nafikiri hii thread yako ungebandika kule kwy technology majibu yangeishaanza kutiririka lakini pili kama umeweza kujua hiyo teminology ''bbm'' basi tayali una uelewa kwa kiasi flan.
Funguka sasa into details ueleweke na kupatiwa ufafanuzi wa kina ni kipi hasa unachotaka kujua/kufaham.