Ombi la Nafasi ya Kazi

Ombi la Nafasi ya Kazi

Samshenk

Member
Joined
Nov 1, 2018
Posts
16
Reaction score
9
Habari ya mda huu ndugu zangu wana Jf
Mimi ni kijana was kiume umri ni miaka 27
Nina hitaji msaada wa connection ya kazi ya Uafisa usalama na Afya(Safety and Health Officer) katika viwanda.Nina shahada ya Environmental Health Science.Nina uzoefu wa mwaka Mmoja na Nimesajiriwa na Environmental Health Practitioners council
Ninaweza Fanya kazi kama
Hazard Analysis and management
Risk assessment
Training of personnel's on safety and Health
Nina uwezo pia wa Kutumia Computer vizuri
Pia ninaweza fanya kazi za WASH ktk mashirika maana nina uzoefu pia kwenye eneo la sanitation,Health promotion and Water. Nipo Dar es salaaam.
Namba zangu ni 0686639837
 
Back
Top Bottom