Nilikua kama wewe miaka kadhaa iliyopita. Sahz niko napambana na maisha mengine ,Kaza buti kijanaHabari,
Mimi nimwalimu niliehitimu katika chuo kikuu cha elimu kishiriki cha Dar es salaam na kutunukiwa shahada ya ualimu katika masomo ya Economics pamoja na Political Science and Public Administration.
Hivyo natafuta kazi ya Ualimu (kufundisha) ngazi yoyote kama ifuatavyo
Advanced Level
-Economics & General Studies
O-level
-Commerce & Civics
Primary schools
-Science, Social Studies & Health Care
Mawasiliano yangu ni
+255679106269
+255753376495
Kwasasa napatikana Dar es Salaam Na nipo tayari kufanya kazi mahali popote.
Naomba nisaidie kushare
Asante
Ouk sawa.Amina
Habari,

Peleka CV baobab wanahitaji mwalimu wa GS/CIVICS.Habari,
Mimi nimwalimu niliehitimu katika chuo kikuu cha elimu kishiriki cha Dar es salaam na kutunukiwa shahada ya ualimu katika masomo ya Economics pamoja na Political Science and Public Administration.
Hivyo natafuta kazi ya Ualimu (kufundisha) ngazi yoyote kama ifuatavyo
Advanced Level
-Economics & General Studies
O-level
-Commerce & Civics
Primary schools
-Science, Social Studies & Health Care
Mawasiliano yangu ni
+255679106269
+255753376495
Kwasasa napatikana Dar es Salaam Na nipo tayari kufanya kazi mahali popote.
Naomba nisaidie kushare.
Asante
hii baobab iko wapi mkuu)?Peleka CV baobab wanahitaji mwalimu wa GS/CIVICS.
Ipo mpakani mwa dar na bagamoyo...yaan ukifika kinduchi unapanda gar au bajaji 500hii baobab iko wapi mkuu)?
Ukibahatika kupita pale,kazi ni zaidi ya waliopo serikali mbonge la shulehii baobab iko wapi mkuu)?