Nadhani ametoa maoni Yake mazuri.. Wewe itakuwa sio mdau wa mziki mzuriSio kila mtu lazima aingie WCB, kama ni msanii mzuri kwann asijitahidi atoke mwenyewe?
Hii ndiyo inafanya diamond aonekane bila yeye watu hawawezi fanya vizuri.
Sio inafanya aonekane ilishaonekana na iko ivo tayariSio kila mtu lazima aingie WCB, kama ni msanii mzuri kwann asijitahidi atoke mwenyewe?
Hii ndiyo inafanya diamond aonekane bila yeye watu hawawezi fanya vizuri.
RnB siyo aina ya muziki unaofanya vizuri Afrika. Kitu AfroPopKipo kipaji kimoja kikongwe sana cha r n b kinaitwa Nuruel. Huyu jamaa ni mwanamuziki kweli. Ni zaidi ya Raymond. Alitoka na 'mng'aro wa silver. Akaja na kilio. Akaja kuimba na b band wimbo wa 'nzela'. Naona anawayawaya tu. Nasikia ni mtumiaji. Ila kiukweli kama WCB wakijaribu kuiona fursa ndani ya mtu huyu watakuwa wamefanya jambo adimu sana.
Niwaambie tu watu wote kuwa, sisi wa kizazi chetu cha 70s na 80s hatuna wawakilishi kwenye burudani. Tunabakia kusikiliza nyimbo za watoto hadi tunaona aibu. Nyimbo zenyewe za kitoto japo nzuri ila ujumbe si sahihi kwetu. Ukimsikiliza Chamellion wa uganda na Jaydee ndio utajua nasema nini. Nyimbo zao zinaakisi utu uzima wetu. Sasa kwangu kwa upande wa r n b hapa tz bado naona nuruel anafaa sana kutuwakilisha. Mfikishieni Diamond ujumbe huu. Pia tafuteni wimbo wa nzela muusikilizetena. Halafu tafuteni wimbo wa Kala Jeremia ft nuruel-usikate tamaa.
Pigia mstari maneno yako ya mwishoSio kila mtu lazima aingie WCB, kama ni msanii mzuri kwann asijitahidi atoke mwenyewe?
Hii ndiyo inafanya diamond aonekane bila yeye watu hawawezi fanya vizuri.
Kwani unadhani hakujua kuwa kiba yupo??? Mond ni kila kitukwa nini asiende kwa king kiba??? kila mtu mzuri akienda wcb mziki hutakosa ushindani
Nurueli hana bahati ya kutoka (au tuseme hataki kutoka?). Kwa historia tu ni kwamba kaanza muziki kitambo sana na akina Sugu (Mr II), kunako miaka ya 1990. Lakini vijana wametoka na wanaendelea kutoka, ila yeye bado. Kuna kipindi alikuwa anaimba na B Band ya Banana, sijajua kaishia wapi!Sio kila mtu lazima aingie WCB, kama ni msanii mzuri kwann asijitahidi atoke mwenyewe?
Hii ndiyo inafanya diamond aonekane bila yeye watu hawawezi fanya vizuri.
Mkuu na mimi nimetoa maoni yangu, hapana ni mdau wa mziki mzuri ila wasanii wetu tusiwajenge kuwa wategemezi, tusimpe mond mizigo zaidi!! nuruel kaanza kuimba zamani sana enzi hizo mond ana hata wazo la usanii, na kama umeangalia WCB wanapenda damu changa na sio kizazi cha nuruelNadhani ametoa maoni Yake mazuri.. Wewe itakuwa sio mdau wa mziki mzuri
Nakumbuka kuna siku aliojiwa kuhusu kuongeza wasanii, akasema waliopo wanatosha watasaidia nje ya WCB lakini sio kumsimamia ndani ya WCB.Sio inafanya aonekane ilishaonekana na iko ivo tayari
Sio kwamba nuruel hajaribu kutoka. Inaonekana anakutana na changamoto nyingi. Wasafi wako vizuri. Si lazima pia wamsajili bali wampe sapoti ya kutosha maana wasafi ina menejimenti kubwaSio kila mtu lazima aingie WCB, kama ni msanii mzuri kwann asijitahidi atoke mwenyewe?
Hii ndiyo inafanya diamond aonekane bila yeye watu hawawezi fanya vizuri.
Huko kwa mpoto amekula chaka. Akae karibu na kina TaletaleKiukweli namjua vizuri Nuruely ni bonge la mwanamuziki kinachomuangusha ni sapoti kwa mashabiki na vyombo vya habari. Ana kazi nyingi nzuri ambazo amezitoa lakini hazipewi kipaumbele sana.... Baada ya kuachana na B Band aliamua kupumzika kidogo kimuziki akaenda Mtwara kuishi na familia yake lakini kwa sasa amerudi tena Dar na yupo chini ya Mrisho Mpoto.
Mkuu unajielewa kweli?Nadhani ametoa maoni Yake mazuri.. Wewe itakuwa sio mdau wa mziki mzuri
Yupo chanika nasikia ni mjasiriamali kwenye sekta ya kilimo na mifugoKiukweli namjua vizuri Nuruely ni bonge la mwanamuziki kinachomuangusha ni sapoti kwa mashabiki na vyombo vya habari. Ana kazi nyingi nzuri ambazo amezitoa lakini hazipewi kipaumbele sana.... Baada ya kuachana na B Band aliamua kupumzika kidogo kimuziki akaenda Mtwara kuishi na familia yake lakini kwa sasa amerudi tena Dar na yupo chini ya Mrisho Mpoto.