Ombi kwa wabunge wa CCM kesho

Waangalie laana isije ikawaangukia
 
All over sudden[emoji15]

Napita tu na kiswahili changu mie [emoji124]
 
Your comment presage that the bill is to fix the opposition?
Chenji ya Rada
 
Meshafirika nyinyi, hamna pesa.
Mtaanzaje kutoa milion 50 kwa kila kijiji?
Yaani unampa mtu milion kumi ili aende dhambi lakini wazee wanasubiri milioni 50 kila kijiji


Kuna mambo uwa yanatokea Tanzania pekee......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…