huyo tatizo anawenge sana hajui mandishi yake ndio ushawishi
huyo tatizo anawenge sana hajui mandishi yake ndio ushawishi
Ni kweli ukifuatilia tu majibu yake tayari amesha jaa upepo.huyo tatizo anawenge sana hajui mandishi yake ndio ushawishi
huyo tatizo anawenge sana hajui mandishi yake ndio ushawishi
iyo aponipo Dodoma
lakin mzigo siunaweza ukafatwa au kutumwa toka popote ulipo
Sent using Jamii Forums mobile app
itatosha mkuu as long as inafanyakaziHio hapo mkuu chukuaView attachment 1046143
Wewe kweli ni ndege,yan unamuambia achukue pichaHio hapo mkuu chukuaView attachment 1046143
Kwa desktop dukani zinapatikana chini ya hapo.Kuna PC ya 220k humu ilitangazwa.
Ongea nae akufanyie hata 150k ,humu utaambulia masimango tu.
Complete chini ya 150K wapi huko?Kwa desktop dukani zinapatikana chini ya hapo.
Machinga mkuu, tena hio ina 2gb ram na 320GB hdd na c2d, zipo za chini ya hapo ukirudi enzi za Pentium 4.Complete chini ya 150K wapi huko?
Pande zipi maana wapo wengi pale je zinakaa PC zenyewe?Machinga mkuu, tena hio ina 2gb ram na 320GB hdd na c2d, zipo za chini ya hapo ukirudi enzi za Pentium 4.
Kwa pc ya miaka zaidi ya 10 iliopita siwezi kukuhakikishia, ila vifaa vingi vya computer vinadumu sana tatizo kubwa ni psu zinakufa sana na Tanesco yetu hii.Pande zipi maana wapo wengi pale je zinakaa PC zenyewe?
Siyo baada ya mwezi kitu kinaleta matata