natumbaku Chambeho
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 551
- 209
Ni kuhusu sheria ya makosa ya kimtandao, ingekuwa jambo la maana ikasogezwa mbele kuanza kutumika.
Kwa nini na sema hivi?
unahitajika muda watu waeleweshe waielewe vizuri hii sheria, maana sheria ni taaluma, muda uliotolewa hautoshi.
Ni sheria ya muungano, Zanzibar wanahitaji kuridhia ili iweze kutumika huko. Tutakuwa hatuwatendei watanganyika haki kuwa sheria ihusuyo muungano ianze kuwahukumu wao kwanza, haipendezi sana.
Wananchi tunahitaji sana mitandao kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu kupeana taarifa na kuelimishana. Kumbuka juzi kati hapa, kumezuka watu hatari sana mbao huko nyuma hatukuwaelewa kumbe ni wajasiriasiasa. Tunahitaji kufamishana kuhusu hili kabla ya uchaguzi.
Lakini mwisho itakuwa vigumu mtu kuandika hoja yako mtandaoni, maana kama uko makini na si mwanasheria itabidi utafute mwanasheria apitie kwanza, kuepuka kuingia matatani na usiyo ya tarajia.