makolola
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 765
- 290
Kwanza kabisa ni kuhusu ugumu wa maisha unaozidi kushamiri.:
- Tunaomba sura za viongozi wote wa umma zifanane na sura za raia walioko mitaani ambao wengi wanaonekana sura zao kukunjamana na kudumaa ingawa wengine wana umri mdogo,wengi wao wana vigezo vya kuwa watumishi ila kama ujuavyo nchi inazalisha nguvu kazi ya watu laki 9 lakini inaajiri elfu 40 ambaayo ni chini ya 5%.
- Tunafurahishwa na kazi ya kubana matumizi na kuzuia uwizi ila pia tunaomba pia kuongezwa kwa fursa za kibiashara na fursa za ajira kitu ambacho hatuoni kikifanyika.