Ombi kwa chama changu kipenzi CHADEMA

Ombi kwa chama changu kipenzi CHADEMA

Msema yote

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
448
Reaction score
301
Najua mahali hapa ni mahala panapopita macho ya wengi Tanzani, Afrika na Dunia nzima. Japo wanaoelewa kinachokuwa kimeamdikwa hapa ni wale tu wanaoifahamu lugha hii pendwa ya kiswahili.
Nisiwachoshe wakuu nielekee kwenye hoja ilionileta hapa.

Ombi langu kwa chama changu pendwa Chadema ni kuwataka wafikirie juu ya kimiliki vyombo vya habar kama Tv. Station, Radio, na on-line radio. Wazo hili limenijia baada ya kuona uonevu mkubwa unaofanywa na Tbc chombo ambacho kinatumia kodi ya watanzania kulinda chama cha mafisadi CCM.
Wakuu, kwa wale wote waliofatilia mjadala wa bunge wataungana na mimi kuwa leo Tbc imekosea uma wa watanzania kwa kukata makusudi kipindi cha bunge wakati Mh. Tundu lisu akiwasilisha maoni ya wachache, kiukweli amesema ukweli ule ambao sisi kama wanadamu tunapaswa tuuseme.
Nawaomba wanachadema na viongozi tusaidiane juu ya hili ili tupate vyombo vyetu vya habari vitavotujuza mambo mbalimbali yahusuyo serikali na matatizo ya wananchi.
Viva Cdm
* wanasheria mnakaribishwa kutoa ushauri wa kisheria juu ya mada.
*wapenda kejeli na dharau piteni tu msichafue hali ya hewa.
*wenye mapenzi mema na nchi yetu karibun.

**## BINAFSI NIPO TAYARI KUCHANGIA ILI TUPATE VYOMBO VYA HABARI HURU NA SI TBC
 
Na wale mchwa watafuna ruzuku pale ufipa wazo lako halitawezekana.
 
thumb up mkuu!! Nipo tiyari kuchangia hili Jambo lifanikiwe!
 
Tumekusikia ila kwa sasa tumeanza kumjengea nyumba yule mbunge hawala wa mwenyekiti baada ya ile nyumba ya hawala wa katibu kuisha. Tukimaliza haya masuala mawili tutafikiria ila kwa sasa endeleeni kuchangia M4C
 
msalani unanifurahishaga sana ndugu yangu big up kamanda
 
Najua mahali hapa ni mahala panapopita macho ya wengi Tanzani, Afrika na Dunia nzima. Japo wanaoelewa kinachokuwa kimeamdikwa hapa ni wale tu wanaoifahamu lugha hii pendwa ya kiswahili.
Nisiwachoshe wakuu nielekee kwenye hoja ilionileta hapa.

Ombi langu kwa chama changu pendwa Chadema ni kuwataka wafikirie juu ya kimiliki vyombo vya habar kama Tv. Station, Radio, na on-line radio. Wazo hili limenijia baada ya kuona uonevu mkubwa unaofanywa na Tbc chombo ambacho kinatumia kodi ya watanzania kulinda chama cha mafisadi CCM.
Wakuu, kwa wale wote waliofatilia mjadala wa bunge wataungana na mimi kuwa leo Tbc imekosea uma wa watanzania kwa kukata makusudi kipindi cha bunge wakati Mh. Tundu lisu akiwasilisha maoni ya wachache, kiukweli amesema ukweli ule ambao sisi kama wanadamu tunapaswa tuuseme.
Nawaomba wanachadema na viongozi tusaidiane juu ya hili ili tupate vyombo vyetu vya habari vitavotujuza mambo mbalimbali yahusuyo serikali na matatizo ya wananchi.
Viva Cdm
* wanasheria mnakaribishwa kutoa ushauri wa kisheria juu ya mada.
*wapenda kejeli na dharau piteni tu msichafue hali ya hewa.
*wenye mapenzi mema na nchi yetu karibun.

**## BINAFSI NIPO TAYARI KUCHANGIA ILI TUPATE VYOMBO VYA HABARI HURU NA SI TBC

take from me, wazo lako ni zuri, ila umejiuliza ni nani ataruhusu usajiri wa hicho chombo? unadhani profesor nkoma atakuwa salama pale? ila kuna jambo linakuja la kukidhi haja na kiu ya watanzania, tumechelewa ila tutaanza muda siyo mrefu, wait...and tune
 
Nakuahidi kulifikisha kwa mmoja wa kiongozi wa kamati kuu chadema. Wazo zuri, muda mfupi nimemshauri lema jambo kama hil
 
Najua mahali hapa ni mahala panapopita macho ya wengi Tanzani, Afrika na Dunia nzima. Japo wanaoelewa kinachokuwa kimeamdikwa hapa ni wale tu wanaoifahamu lugha hii pendwa ya kiswahili.
Nisiwachoshe wakuu nielekee kwenye hoja ilionileta hapa.

Ombi langu kwa chama changu pendwa Chadema ni kuwataka wafikirie juu ya kimiliki vyombo vya habar kama Tv. Station, Radio, na on-line radio. Wazo hili limenijia baada ya kuona uonevu mkubwa unaofanywa na Tbc chombo ambacho kinatumia kodi ya watanzania kulinda chama cha mafisadi CCM.
Wakuu, kwa wale wote waliofatilia mjadala wa bunge wataungana na mimi kuwa leo Tbc imekosea uma wa watanzania kwa kukata makusudi kipindi cha bunge wakati Mh. Tundu lisu akiwasilisha maoni ya wachache, kiukweli amesema ukweli ule ambao sisi kama wanadamu tunapaswa tuuseme.
Nawaomba wanachadema na viongozi tusaidiane juu ya hili ili tupate vyombo vyetu vya habari vitavotujuza mambo mbalimbali yahusuyo serikali na matatizo ya wananchi.
Viva Cdm
* wanasheria mnakaribishwa kutoa ushauri wa kisheria juu ya mada.
*wapenda kejeli na dharau piteni tu msichafue hali ya hewa.
*wenye mapenzi mema na nchi yetu karibun.

**## BINAFSI NIPO TAYARI KUCHANGIA ILI TUPATE VYOMBO VYA HABARI HURU NA SI TBC

Ni wazo zuri ingawa upo ugumu wake, lakini inawezekana kufanyika indirect

kwasasa tembelea link hapo chini kwa matukio yote yanaoihusu chadema

https://www.youtube.com/user/chadematv

be regard
 
Tumekusikia ila kwa sasa tumeanza kumjengea nyumba yule mbunge hawala wa mwenyekiti baada ya ile nyumba ya hawala wa katibu kuisha. Tukimaliza haya masuala mawili tutafikiria ila kwa sasa endeleeni kuchangia M4C
Unajua tofauti ya HAWALA NA HAWARA wewe boya?Km vitu vidogo hivi hujui...utawezaje makubwa.Maccm ni laana kila mahali
 
Chombo cha habari mbona tayari kipo muda mrefu...sema wale mchwa wa ufipa wamejimilikisha badala ya kuwa mali ya chama.

Ungekua na akili nadhan ungeanza kudai gazeti la Tanzania daima make ile ni mali ya chama japo mchwa kajimilikisha.
 
tumekusikia ila kwa sasa tumeanza kumjengea nyumba yule mbunge hawala wa mwenyekiti baada ya ile nyumba ya hawala wa katibu kuisha. Tukimaliza haya masuala mawili tutafikiria ila kwa sasa endeleeni kuchangia m4c

liambie dhaifu la maggoni lisifuje kodi zetu kwaajili ya hawara wake v.kamata.
Ule mgodi wa dhahabu geita alimpa kwa sababu gani?
 
Najua mahali hapa ni mahala panapopita macho ya wengi Tanzani, Afrika na Dunia nzima. Japo wanaoelewa kinachokuwa kimeamdikwa hapa ni wale tu wanaoifahamu lugha hii pendwa ya kiswahili.
Nisiwachoshe wakuu nielekee kwenye hoja ilionileta hapa.

Ombi langu kwa chama changu pendwa Chadema ni kuwataka wafikirie juu ya kimiliki vyombo vya habar kama Tv. Station, Radio, na on-line radio. Wazo hili limenijia baada ya kuona uonevu mkubwa unaofanywa na Tbc chombo ambacho kinatumia kodi ya watanzania kulinda chama cha mafisadi CCM.
Wakuu, kwa wale wote waliofatilia mjadala wa bunge wataungana na mimi kuwa leo Tbc imekosea uma wa watanzania kwa kukata makusudi kipindi cha bunge wakati Mh. Tundu lisu akiwasilisha maoni ya wachache, kiukweli amesema ukweli ule ambao sisi kama wanadamu tunapaswa tuuseme.
Nawaomba wanachadema na viongozi tusaidiane juu ya hili ili tupate vyombo vyetu vya habari vitavotujuza mambo mbalimbali yahusuyo serikali na matatizo ya wananchi.
Viva Cdm
* wanasheria mnakaribishwa kutoa ushauri wa kisheria juu ya mada.
*wapenda kejeli na dharau piteni tu msichafue hali ya hewa.
*wenye mapenzi mema na nchi yetu karibun.

**## BINAFSI NIPO TAYARI KUCHANGIA ILI TUPATE VYOMBO VYA HABARI HURU NA SI TBC

website imewashinda tv wataiweza?
 
chadema tumuombe mengi atukodishie ITV , ngoja nimpigie simu mzee mtei ampe mangi.mwenzake mchongo
 
Unajua tofauti ya HAWALA NA HAWARA wewe boya?Km vitu vidogo hivi hujui...utawezaje makubwa.Maccm ni laana kila mahali
.

Bwana Nicholas, CHADEMA ina DATABASE ya Wanachama wake nchi nzima na ina wapenzi wa CDM. Wananchi nchi nzima wamechoshwa na CCM. Ila CCM kwa propaganda ni kiboko, japo haiwezi kupotosha wote wapo watakaodanganyika.

Uchaguzi wa Serikali za mitaa unakaribia, je wananchi wa vijijini wamefikiwaje?

Tutumie facebook (tuunde friends of CDM/Enemies of Corruption CCM).

Wanafunzi wengi na vijana wengi wana simu zenye kuweza kutumia Facebook. Ziwekwe picha za shule bila madawati, wagonjwa hospitalini, wajawa zito wamelala sajafuni, migogoro ya wakulima, mabomu ya mbagala

Wazazi vijijini wafikiwe kwa njia yeyote.

COpy to Mnyika, Tumaini makene
 
Chombo cha habari mbona tayari kipo muda mrefu...sema wale mchwa wa ufipa wamejimilikisha badala ya kuwa mali ya chama.

Ungekua na akili nadhan ungeanza kudai gazeti la Tanzania daima .
Chizi siyo lazima atembee uchi, take it from me huna akili ndo maana unaishi kwa ushabiki wa ajabu. Jenga hoja ndugu watanzania tunahitaji suluhu la matatizo yetu siyo porojo zako na za chama chako ccm. Think BIG
 
Back
Top Bottom