Ombi kwa chama changu kipenzi CHADEMA

Ombi kwa chama changu kipenzi CHADEMA

Na wale mchwa watafuna ruzuku pale ufipa wazo lako halitawezekana.

Hivi wezi wa epa na watafuna kodi za watanzania umewasahau? Tatizo unaushabiki wa chama, huna nia ya kutoa wazo zuri linaloweza tatua matatizo ya watanzania. Badala yake unatanguliza maslai kama unakerwa na matatizo ya watanzani fanya moja ya yafuatayo na si ushabiki
1. Tumia user name
inayofahamika.
2. Tuambie je ni sahihi kutumia vyombo vya dola katika uchaguzi.
3. Tueleze ni sahii serikali kufumbia macho wauaji na watesaji wa raia wasio na hatia?
4. Ni haki kwa tbc kuzima mitambo wakat wa hoja za wapinzani
5. Ahadi alizo ahid mwenyekiti wako zimetia hata robo? Kama bado kwa nn?
6. Kwann watanzania ni maskini?
7. Nani muuaji wa tembo na kwann hachukuliwi hatua?

Nipe majibu hayo kwa hoja na si porojo kama unakerwa na matatizo ya watanzania
 
.

Bwana nicholas, chadema ina database ya wanachama wake nchi nzima na ina wapenzi wa cdm. Wananchi nchi nzima wamechoshwa na ccm. Ila ccm kwa propaganda ni kiboko, japo haiwezi kupotosha wote wapo watakaodanganyika.

Uchaguzi wa serikali za mitaa unakaribia, je wananchi wa vijijini wamefikiwaje?

Tutumie facebook (tuunde friends of cdm/enemies of corruption ccm).

Wanafunzi wengi na vijana wengi wana simu zenye kuweza kutumia facebook. Ziwekwe picha za shule bila madawati, wagonjwa hospitalini, wajawa zito wamelala sajafuni, migogoro ya wakulima, mabomu ya mbagala

wazazi vijijini wafikiwe kwa njia yeyote.

Copy to mnyika, tumaini makene

naunga mkono hoja!
 
. Bwana Nicholas, CHADEMA ina DATABASE ya Wanachama wake nchi nzima na ina wapenzi wa CDM. Wananchi nchi nzima wamechoshwa na CCM. Ila CCM kwa propaganda ni kiboko, japo haiwezi kupotosha wote wapo watakaodanganyika. Uchaguzi wa Serikali za mitaa unakaribia, je wananchi wa vijijini wamefikiwaje? Tutumie facebook (tuunde friends of CDM/Enemies of Corruption CCM). Wanafunzi wengi na vijana wengi wana simu zenye kuweza kutumia Facebook. Ziwekwe picha za shule bila madawati, wagonjwa hospitalini, wajawa zito wamelala sajafuni, migogoro ya wakulima, mabomu ya mbagala Wazazi vijijini wafikiwe kwa njia yeyote. COpy to Mnyika, Tumaini makene
Subiri waandikishe upya daftari la wapiga kura uone waliokuwa miaka chini ya 18, 2010, watakuwa na miaka mingapi.
 
.

Bwana Nicholas, CHADEMA ina DATABASE ya Wanachama wake nchi nzima na ina wapenzi wa CDM. Wananchi nchi nzima wamechoshwa na CCM. Ila CCM kwa propaganda ni kiboko, japo haiwezi kupotosha wote wapo watakaodanganyika.

Uchaguzi wa Serikali za mitaa unakaribia, je wananchi wa vijijini wamefikiwaje?

Tutumie facebook (tuunde friends of CDM/Enemies of Corruption CCM).

Wanafunzi wengi na vijana wengi wana simu zenye kuweza kutumia Facebook. Ziwekwe picha za shule bila madawati, wagonjwa hospitalini, wajawa zito wamelala sajafuni, migogoro ya wakulima, mabomu ya mbagala

Wazazi vijijini wafikiwe kwa njia yeyote.

COpy to Mnyika, Tumaini makene

Heshima mkuu.
 
Wasiwasi wangu ni kama hii serikali itakubali kukisajili.
Labda tuwaombe wenye uzalendo kama Ndugu Reginald Mengi wafanye kazi hii au kuwe na usajilki kupitia umiliki mbadala.
NB:Kama wameweza kumzimia mh.Tundu Lissu si itawachukua muda mdogo tu kukifungio chombo hicho na kukitia hasara chama???? Lazima kuwa na umakini wa hali ya juu.
 
Unajua tofauti ya HAWALA NA HAWARA wewe boya?Km vitu vidogo hivi hujui...utawezaje makubwa.Maccm ni laana kila mahali

Hiyo tofauti atakuwa anaijua Slaa vizuri sana.
 
Wakuu tunapoelekea kwenye mabadiliko ya kweli ni muhimu tufanye maamuzi haya hasa wapenzi na wahitaji mabadiliko kama mimi,
Imefika wakati tubuni mbinu mbadala wa kuwafikishia elimu ya mabadiliko sehemu ya watanzania walio vijijini
Ni muhimu tuwafikie wengi ili kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa mkoloni mweusi mwenye mavazi ya kijani.

HAKUNA MAREFU YASIO KUWA NA NCHA, MWISHO WA CCM UMEWADIA NA HATMA YAO NI SASA.
WATANZANIA TUAMKE, TUONE MBELE NA TUANGALIE WAPI TUMETOKA NA TULIPO KISHA TUJIULIZE JE NI SAHII KUWEPO MAHALI HAPA ILIHALI TUMEZUNGUKWA MA RUNDO LA MALI ZENYE THAMANI, MUNGU AMETUPA NEEMA ILA WAJANJA WACHACHE WA CCM WANATUMIA MALI HIZI KUTUTAWALA HUKU WAKITUIBIA.

NAHASIRA NA HUU UKO WA PANYA WASIO NA AIBU,CCM MJIANDAE
 
naunga mkono hoja!
Ila Nicholas hajanielewa!!!

Kwa maana Hiyo Ndugu WillAfrica, naomba ufikishe huu ujumbe kwa Viongozi wa Chadema kama Tumaini Makene ili wafanyie kazi. Pia waweke zile Youtube -CHADEMA waweke kwa Facebook na whatsapp. Hii itawafikia watu wengi sana.

Hotuba za Akina LISU, Vincent Nyerere, ziwekwe kwa facebook pia.
 
sidhani kama hilo wazo hawakuwa nalo,sitaki kuamini hivyo kwa wasomi wote walioko pale ila kutakuwa kuna kitu hakiko sawa
 
Back
Top Bottom