Ngoja wazee wa chabo watakuja na jibu lakini mimi nafikiri huwa wanaenda kwenye mazungumzo yao wenyewe
Mkuu karibu nishauri kuziita "Nyumba za Mazungumzo" lakini mbona kwa asilimia kubwa mazungumzo yanakuwa baina ya watu wa jinsi tofauti?!
Ngoja wazee wa chabo watakuja na jibu lakini mimi nafikiri huwa wanaenda kwenye mazungumzo yao wenyewe
hahahaha kuna guest niliona imeandikwa yesu anaweza yote guest house
Hizo kashfa sasa
ha ha ha ha hata kwa fimbo. siingii hiyo guest
Gesti hausi zibadilishwe majina ziitwe nyumba za wenyeji manake watumiaji asilimia 90 ni wenyeji Halafu na rejista nayo ibadilishwe yani haiwezekani kabisa mtu ajaze hivi;
Jina lako kamili: Mhina kitobeo
Kabila : mzaramo
Kazi yako: mfanyabiashara/mkulima
Unapotoka: Dsm
Unapokwenda: Dsm
Tarehe ya kuingia: 17
Tarehe ya kutoka: 18
Passport no: -
Kiasi: elfu kumi tu.
Chumba no: 15 self bila maji
Hapo hakuna la kweli hata moja ,itafutwe namna bora zaidi ya kuboresha hii kitu ili hata walr wafao vifo vya kustukiza waweze kupata msaada wa haraka
hakuna cha ukweli kivipi? Kwani mtu akitoka korogwe akatafuta guest nguvumali hapaswi kuandika ametokea tanga na anaenda tanga? Sababu ni lazima kujiuliza sababu hasa iliyomfanya alale hapo kwani pengine shida ya usafiri ndiyo chanzo
Asamwa hata mimi nashangaa japo siku hizi pia wanaingia wa jinsia moja lakini inaacha maswali mengi piaMkuu karibu nishauri kuziita "Nyumba za Mazungumzo" lakini mbona kwa asilimia kubwa mazungumzo yanakuwa baina ya watu wa jinsi tofauti?!