Ombi: Guest house zibadilishwe majina

Ombi: Guest house zibadilishwe majina

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,072
Reaction score
831,696
Gesti hausi zibadilishwe majina ziitwe nyumba za wenyeji manake watumiaji asilimia 90 ni wenyeji Halafu na rejista nayo ibadilishwe yani haiwezekani kabisa mtu ajaze hivi;

Jina lako kamili: Mhina kitobeo

Kabila : mzaramo

Kazi yako: mfanyabiashara/mkulima

Unapotoka: Dsm

Unapokwenda: Dsm

Tarehe ya kuingia: 17

Tarehe ya kutoka: 18

Passport no: -

Kiasi: elfu kumi tu.

Chumba no: 15 self bila maji

Hapo hakuna la kweli hata moja ,itafutwe namna bora zaidi ya kuboresha hii kitu ili hata walr wafao vifo vya kustukiza waweze kupata msaada wa haraka
 
Khe mbona huku watu wanapita kimyakimya tu bila kuchangia ?inamana hamwendagi guest house au ?
 
Khe mbona huku watu wanapita kimyakimya tu bila kuchangia ?inamana hamwendagi guest house au ?

Watakuja tu baada ya muda. .

Watumiaji wako wengi na ndio maana unakuta ka bango mbele ya geti. ...TUMEJAA au HAKUNA NAFASI. ..
 
1607121_636752509695780_914775423_n.jpg
 
Gesti hausi zibadilishwe majina ziitwe nyumba za wenyeji manake watumiaji asilimia 90 ni wenyeji Halafu na rejista nayo ibadilishwe yani haiwezekani kabisa mtu ajaze hivi;

Jina lako kamili: Mhina kitobeo

Kabila : mzaramo

Kazi yako: mfanyabiashara/mkulima

Unapotoka: Dsm

Unapokwenda: Dsm

Tarehe ya kuingia: 17

Tarehe ya kutoka: 18

Passport no: -

Kiasi: elfu kumi tu.

Chumba no: 15 self bila maji

Hapo hakuna la kweli hata moja ,itafutwe namna bora zaidi ya kuboresha hii kitu ili hata walr wafao vifo vya kustukiza waweze kupata msaada wa haraka

Mkuu na hao asilimia 90 ya wenyeji wanakwenda kwa madhumuni gani hasa? Tukipata jibu linaweza kusaidia katika kupata jina muafaka!
 
Mkuu na hao asilimia 90 ya wenyeji wanakwenda kwa madhumuni gani hasa? Tukipata jibu linaweza kusaidia katika kupata jina muafaka!

Ngoja wazee wa chabo watakuja na jibu lakini mimi nafikiri huwa wanaenda kwenye mazungumzo yao wenyewe
 
Back
Top Bottom