SIR JAPHET
Member
- Mar 21, 2011
- 31
- 6
ndugu viongoz wa kitaifa wa chadema wananchi wapenda nchi ya Tz wanaomba muandae mkutano jangwani awamu ya pili ili mseme umaskin mlio uona kusini mwa Tz ktk m4c.Pia mtusemee kero zetu kwa serikali.Hali inatokana na ccm kushindwa kujibu kero za wananchi wa Tz leo jangwan.Watanzania hawahitaji takwimu za kitaalamu,wanahitaji kusikia wananufaikaje na raslimali za taifa,serikal kushusha bei za bidhaa,folen za magari,umeme wa mgao,mishahara duni n.k
Haturudi nyuma kamwe na tunasonga mbele, bado kuna mikoa mingi ina kiu so acha CDM iendelee mbele ili CCM wazidi kucheza ngoma yetu.
Tuliiwaambia dar ina wenyewe jamani mkabisha, Leo mmefanywa kitu mbaya Katu hamtasahau
oh!!!!!!!!my friend ur very genius with ur party ccm,ivi leo hapo jangwani mmejibu kero zipi za watanzania wenye hali duni kimaisha?u just mentioned idadi ya barabara,mji mpya wa kigamboni wenye utata.maendeleo ya tz na watanazania hayaendani na miaka yakuzaliwa kwa taifa la tz.talk of the balance of payment.inflation rate,gdp ya tanzaina ikoje?.hakika leo mmejuuta kuiga mikutano ya hadhara.nimeamini mfa maji haachi kutapatapa.kumbukeni wadanganyika wanaelimshwa na m4c kila siku.hayo yote mbona leo yamepatiwa majibu na kwa ufasaha kabisa, au nyie ndio wenye macho ambao hamuoni, wenye masikio ambao hamsikiii?