Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,937
- 1,193
Kweli Kaka Mwezi Mmoja Ndo Mpago La Sivyo Nahamia Zantel Soon
hamia zantel. 1500 tsh. kwa mwezi mzimaaaa. zantel ndio mpango mzima kwa sasa ktk internet.
Hata hicho kidogo watakipoteza ,ngoja mwezi uishe wafanye tathmini
hamia zantel. 1500 tsh. kwa mwezi mzimaaaa. zantel ndio mpango mzima kwa sasa ktk internet.
Imany John,ikumbukwa kuwa kampuni za simu zinatakiwa kutoa huduma zinazoshabihiana na maisha halisi ya watanzania. Internet ndo huduma inayotegemewa na watanzania wengi katika mawasiliano,nashauri kampuni za simu kufanya huduma ya internet kuwa ni free,"Habari njema kutoka Airtel. Nunua kifurushi cha 500MB kwa sh 3500 tu kitakachotumika kwa siku 10. Tuma neno INTERNET kwenda 15444 na furahia kuperuzi"
Ujumbe tajwa hapo juu,tunaomba hata kama mtafanya elfu 4000 ila muda uwe ni mwezi mmoja. Vigezo vya siku kumi sijajua mmetumia vigezo vipi.
Nawasilisha.
Imany John,ikumbukwa kuwa kampuni za simu zinatakiwa kutoa huduma zinazoshabihiana na maisha halisi ya watanzania. Internet ndo huduma inayotegemewa na watanzania wengi katika mawasiliano,nashauri kampuni za simu kufanya huduma ya internet kuwa ni free,
hamia zantel. 1500 tsh. kwa mwezi mzimaaaa. zantel ndio mpango mzima kwa sasa ktk internet.
nahisi pia wangesema na 500mb tu"Habari njema kutoka Airtel. Nunua kifurushi cha 500MB kwa sh 3500 tu kitakachotumika kwa siku 10. Tuma neno INTERNET kwenda 15444 na furahia kuperuzi"
Ujumbe tajwa hapo juu,tunaomba hata kama mtafanya elfu 4000 ila muda uwe ni mwezi mmoja. Vigezo vya siku kumi sijajua mmetumia vigezo vipi.
Nawasilisha.
Sajy, kumbuka wakati kampuni hizi zinakuja Tanzania in 90's huduma za SMS ilikuwa ni free na wakati huo wateja wao walikuwa wachache,sidhani kama sasa watashindwa kufanya hivyo kwa kuwa huduma nyingine gharama bado ipo juu,neno lako la mwisho "free" limeniacha hoi.. Watakula wapi sasa??kama kutuma msj whtsapp, MB 1 inachukua karibia wiki moja kuisha.. Nani wa kupiga simu.. Kodi ya serikali itatoka wapi??