Ombea mfanyakazi wako wa ndani

From Sir With Love

JF-Expert Member
Sep 13, 2010
2,076
3,804
Nimekutana na hizi clips kwenye mtandao na inawezekana wengi wetu tumeshaziona.

Ombea mfanyakazi wako wa ndani siku zote ili awe na utulivu wa moyo na nafsi.

Mkuu hii ni kaidi. Kuna mmoja mama mwenye nyumba alimgombeza kila wakionana yana ile ilikuwa emotional abuse, dada alimwacha mtoto wa miezi mitatu kwenye oven na moto mdogo akasepa. Mama amerudi anakuta mtoto ameiva, dada ameshachukua train siku nyingi sana.

Hawa watu ni wa kuwaheshimu ukikaa nao.
 
Mkuu hii ni kaidi. Kuna mmoja mama mwenye nyumba alimgombeza kila wakionana yana ile ilikuwa imotional abuse, dada alimwacha mtoto wa miezi mitatu kwenye oven na moto mdogo akasepa. Mama amerudi anakuta mtoto ameiva, dada ameshachukua train siku nyingi sana.

Hawa watu ni wa kuwaheshimu ukikaa nao.
Sky, haya mambo yapo sana.

Najua jukumu la kuomba ni la pande zote, kwa mwanaume na mwanamke.

Japo wanaume au akina baba tuna mambo mengi.

A praying wife is a solid foundation at home.
 
Yah I know men join the family prayers when things are real bad, such as kutumbuliwa. Pamoja na kuomba ni kukaa nao kama unavyokaa na ndugu yako, love is the strongest weapon to destroy evilness.
 
hahaha, Kutumbuliwa!!!!!!!

well said, japo kuna house gilrs wengine wamelishwa maneno huko walikotoka, na hata uwe mwema vipi, bado tu watakutenda.

Ironically, wale maboss wakali ndiyo wanaishi na mahouse girls muda mrefu. Stupid world.
 
Ni kweli mkuu, pia kutumia psychology kuelewa dunia huyu mtu anayotoka na mazingira unayomkaribisha. Kama huyu dada alikuwa anatumia kitchen towel kusafisha mwili, siajabu haelewi anachofanya.

Rafiki yangu aliniambia alipata house girl ametoka kijijini, asubuhi wakigawana mayai ya kukaanga dada alipenda sana, masikini ilikuwa mara yake ya kwanza kula. Uliku wakiwa wamelala aliamka na kwenda jikoni, alikaanga mayai mawili na kula. Alianza kusikia harufu ya mayai akiwa usingizini, kumfuata siku moja anamkuta anakula, alielewa kuwa ni mgeni kwa vitu vile. Anasema alipozoea aliona ni vitu vya kawaida.
 
Umenena kweli kabisa.
 
WalellllllOWalTE="From Sir With Love, post: 19806724, member: 26301"]hahaha, Kutumbuliwa!!!!!!!

well said, japo kuna house gilrs wengine wamelishwa maneno huko walikotoka, na hata uwe mwema vipi, bado tu watakutenda.

Ironically, wale maboss wakali ndiyo wanaishi na mahouse girls muda mrefu. Stupid world.[/QWale wakali...nauona ukweli
 
Back
Top Bottom