mwengeso JF-Expert Member Joined Nov 27, 2014 Posts 9,286 Reaction score 6,729 Nov 26, 2017 #1 Suala la kuwepo ombaomba mijini na Serikali kutokuwa na mikakati ya kudumu kukabiliana nalo, nalileta kwa majadiliano. Hii ni baada ya kufanya marejeo ya bandiko kadhaa humu JF: Tatizo la ombaomba jijini Dar DAR: Ombaomba 60 wakamatwa, kufikishwa mahakamani Operation ya kuondoa Ombaomba Dar yagonga mwamba, Polisi yajipanga upya RC Makonda: Ni marufuku kuwasaidia Ombaomba barabarani jijini Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar atoa siku 6, ombaomba wasionekane mabarabarani Dar Watoto wadogo (2-10 years old) ombaomba Dar es salaam: Wizara ya Watoto inafanya nini???? Bandiko hizo zimezungumzia sana hilo tatizo la ombaomba, je, ni kweli hatuna suluhisho la kudumu? Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, ina mipango gani, au ni ofisi tu kwa jina?
Suala la kuwepo ombaomba mijini na Serikali kutokuwa na mikakati ya kudumu kukabiliana nalo, nalileta kwa majadiliano. Hii ni baada ya kufanya marejeo ya bandiko kadhaa humu JF: Tatizo la ombaomba jijini Dar DAR: Ombaomba 60 wakamatwa, kufikishwa mahakamani Operation ya kuondoa Ombaomba Dar yagonga mwamba, Polisi yajipanga upya RC Makonda: Ni marufuku kuwasaidia Ombaomba barabarani jijini Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar atoa siku 6, ombaomba wasionekane mabarabarani Dar Watoto wadogo (2-10 years old) ombaomba Dar es salaam: Wizara ya Watoto inafanya nini???? Bandiko hizo zimezungumzia sana hilo tatizo la ombaomba, je, ni kweli hatuna suluhisho la kudumu? Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, ina mipango gani, au ni ofisi tu kwa jina?