Omba omba na wauza vipande vya mihogo mibichi waingia ndani ya Stendi mpya ya Gerezani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,664
218,150
Mwanzoni hali haikuwa hivi , lakini mambo yamebadilika baada ya serikali kutoa tamko kwamba Wafanyabiashara ndogondogo wasibughudhiwe.

Ikumbukwe kwamba Wapiga debe walishaingia humo kitambo kirefu tu .

Kadhia hii iko upande wa mabasi ya Tandika na Mbagala , lakini taratibu tunatarajia watatinga hata kule kwenye mabasi ya mwendokasi , maana taarifa zinadokeza kwamba uhuru waliopewa hauna mipaka .
 
Hya Mambo yakusema waache watafute rizik ni ufala.
Kufunga ni kipimo kizur sana cha kutambua njaa inaumaje! Ukiwa kwenye system nzur ya kupata pesa na kula basi unawaona wenzako wote mafala!

Fala ni wewe, kumbuka hakuna kitu kitakwenda bila mifumo sahihi na mipangilio ya kuwawekea mazingira bora ya kufanyia shughuli zao.

Jitambue na siku zote fanya maamuzi sahibhi na kwa mazingira sahh bila kuathiri pande nyingine!
 
Asa Mbona unanitukana?
 
Back
Top Bottom