Mkuu huko ndiko kwa wananchi na wanajua mengi kweli kuliko tunavyofikiri. Mimi kila jioni lazima ninywe kahawa na wananchi vijiweni. Unaweza shangaa wanajua kila kinachofanyika kwa kuwa wengine hutumwa wakidhaniwa ni mbumbumbu kumbe wanajipatia habari za hapa na pale. Ukizichija utapata kitu.
Asante sana mkuu. Kwa kawaida hata siri kwa informars wengi wanazipata vijiweni.Tusividharau kabisa. Nashangaa sijui kweli kama kwa mfano jeshi la polisi kama lingekuwa na mainfoma wao vijiwe kama vya pale round about ya Azam Take away, mansfield street pale jirani ya St. Joseph Millenium School au iliyokuwa Forodhani, pale konondoni jirani na makaburini, mwenge kama unaenda cocacola, etc, etc basi tungejua majambazi na deal zao, wezi wa magari, wezi wa laptop, etc, etc. But I believe wanajua ndo maana ukiwapa tip wanakuuliza kwani umeibiwa wapi ukitaja tu anajua ni nani wahusika but hawafuatiliwi. So vijiweni kuna mambo!!!