Kumbe lile dili la dola milioni 300 lilichongwa na Rostam ambaye alisha waweka sawa watu wa MAGAZETI, TREASURY, TPA MANAGEMENT, KAMATI YA BUNGE, BODI YA TPA na wengineo
kazi ya USD 300 MILLION ilikuwa over inflated to 600 million....mkulo out of those angepata 24 million usd
Nundu ndugu yetu kazi unayo maana kama ngoma ni vs ROSTAM hii haitoisha leo wala kesho sasa subirini muone kijana wa rostama akija hapa JF kuja kumsafisha.

Naona story za vijiweni zinakuja JF kwa kasi!
Naona connection ya Rostam hapo ndio maana Mwenyekiti wa kamati ya miundombinu Serukamba nae alikuja juu akimshambilia Nundu juu ya hiyo dilii!! Huyu Serukamaba ni boi ya Lowassa na Rostam na EL lao ni moja. Kama ni hivyo ni dhahili kuwa Nundu hawezi kubakia kwenye wizara hiyo kwani hilo dili kama limesukwa na Rostam mkweree lazima ana mshiko safi hapo. Ningekuwa Nundu saa hizi nahamisha vitu vyangu toka hiyo ofisi kwani ibilisi kisha ingia; serikali hii haitaki wazalendo inawakumbatia maharamia kwa kwenda mbele!!
Naona story za vijiweni zinakuja JF kwa kasi!
Kwa kweli Nundu kashambuliwa sana na kamati ya miundimbinu. Lakini kama kweli kuna mkono wa Rostam, Serukamba lazima ang'ake kwa sababu ni mfuasi mkubwa wa Rostam. Nilifikiria sana kuwa serukamba kapata wapi ujasiri huo, kumbe kuna mgao wake kapata au ameaidiwa kupata. Sijawahi mkubali Serukamba hata siku moja na sitegemei kuwa anaweza kuwa mtetezi wa wanyonge. Namwomba Mh. Rais amwache waziri Nundu kwenye wizara hiyo ikiwa kweli alichokisimamia ni cha kweli. Aidha nashauri serikali itumie vyombo vyake vya dora kubaini ukweli na haki itendeke na kama naibu waziri amemzunguka waziri wake awajibishwe mara moja.
Game over
Rostam kashinda na ataendelea kula na Mwakyembe hizo dola milioni 600
Naona story za vijiweni zinakuja JF kwa kasi!
Waziri Nundu ni mtu safi, mtu wa maadili, hahongeki wala si mtu wa tamaa. Yeye ni mtaalamu wala si mwanasiasa ndo maana walijua hawawezi kumshirikisha kwenye mchezo mchafu.
Miaka yote amefanya kazi ICAO akiishi Canada, dola kazizoea na ana pesa na malupulupu ya ICAO na wizara na nchi hii inamuhitaji