Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
huu ni uonevu wa hali ya juu aliofanya huyu jamaa....ila haki ya mtu haipotei, natumaini hiyo sehemu itarudishwa kwa south Sudan
MWAFRICA MWENZETU NAONEWA NA MWARABU NA NCHI MWANANCHAMA WA THE RAB LEAGUE.iNKEKUWA NI MPALESTINA KAFANYIWA HIVYO tANZANIA INGEKUWA YA KWANZA KULALAMIKA NA WIZARA YA MAMBO YA NJE KUTOA LAANA. Leo hii kafanyiwa mwafrica mwenzetu kule South- sudan, Tanzania imeuchuna kama vile haijui kilichotokea.

Waafrika wenzetu au WAKIRISTO wenzako? tazama hizo picha za juu wasudan weusiiiiiiii kuliko hata mnyachusa wa tukuyu? sasa kumtetea mwafrika gani hapa? nadhani unawashwa na UDINI ....Hebu tafuta ukweli wa hii vita mpya..nani alivamia sehemu ya nchi ya mwenzake? ni wazi sudan kusini imechukua eneo la kaskazini..na ndio maana hata Obama juu ya chuki yake kwa AL Bashir aliwambia Kusini waondoke kuepusha shari....hawa kusini ni msiba mkubwa kwa EAC kuwaingiza hawa ni matatizo matupu.kama ulitaka statement ya serikali basi sana ingewambia south waache kufanya fujo...walitaka uhuru wakakubaliana na south wakapewa nchi yao kwa mipaka yao inayotambuliwa wafrika sio wakristo pekee usilete mambo 47 hapa...MWAFRICA MWENZETU NAONEWA NA MWARABU NA NCHI MWANANCHAMA WA THE RAB LEAGUE.iNKEKUWA NI MPALESTINA KAFANYIWA HIVYO tANZANIA INGEKUWA YA KWANZA KULALAMIKA NA WIZARA YA MAMBO YA NJE KUTOA LAANA. Leo hii kafanyiwa mwafrica mwenzetu kule South- sudan, Tanzania imeuchuna kama vile haijui kilichotokea.
Wacha upumbavu wewe. Yaani huu ni zaidi ya ujinga, ni upumbavu ndio unaokufanya hata usijue uafrika ni nini au waAfrika ni nani?!!! Hebu chukua muda uutakao, halafu tuandikie humu jamvini...
1. Tuelezee ni nini uAfrika, halafu tuonyeshe ...
2. Kwa vipi iwe kwamba Sudan ya Kusini ni Afrika (na watu wake ni waAfrica), na kwa vipi iwe kwamba
3. Sudan ya Kaskazini sio Africa(na watu wake kuwa sio waAfrika)
4. Vipi wapemba, waComoro, waMadagascar, waMafya, waShelisheli? Pumbavu wahed!!!
Yes, nakuuita pumbavu wahed, kwa maana wewe na walio na upumbavu kama wewe hamjali roho za watu kupotea bure, mnachojali ni ushabiki wa kipumbavu tu. Wakati tatizo linahitaji kutatuliwa, wewe/nyinyi mnazidi kulimiminia mafuta kwa uwongo na ushabili wa kipumbavu. Hivi huu ndio uafrika huu. Waafrika tulipigana kujikomboa kwa kila kitu ikiwemo kiakili. Akili ni kuangalia mambo kwa upana, urefu na ukweli wake, sio ushabiki wa kipumbavu bila ya kujali kwamba roho za watu (waafrika) zitapotea. Huu ni upumbavu, utumwa wa kiakili, katu sio uAfrika.
Akili ni kuangalia hivi
1. Nini chanzo cha mgogoro.
2. Nani kavuka mpaka kuchokoza mwenzake
3. Suluhisha kiukweli
Je, utaka kusema ndio hujue wewe kwamba Sudan ya Kusini kavuka mpaka kuichokoza Sudan ya Kaskazini au ndio chuki zako tu na uislamu (muongo sio uArabu) ndio zinakuzingua. Huna mapenzi yeyote na Africk wewe, kibaraka wa kiakili