jamaa namkubali sana ..na movie zote hizo ni chini yake...Kwa wadau wa movie
Filamu mpya ya Anton Fuqua THE OLYMPUS HAS FALLEN inaangukia kwa star Gerald Butler anayecheza kama mwana usalama aliyepoteza ajira yake kutokana na kifo cha first lady kilichosababishwa na ajal ya gari.. Lakini anapata nafasi nyingine ya kurudisha heshima yake pale anapojaribu kuiokoa ikulu ya Marekani kutoka kwenye mikono ya magaidi.
Miezi michache baadae Director Roland Emmerich nae anatoa filamu mpya inayokwenda kwa jina la WHITE HOUSE DOWN yenye mwonekano na mahadhi kama filamu ya the olympus has fallen katika movie hii anajaribu kuchanganya ladha ikiwamo kumweka Rais mwenye ngozi nyeusi (Jamie Foxx) pia anamjumuisha Channing Tatum ambae anacheza kama mwana usalama anae jaribu kuiokoa ikulu ya marekani kutoka kwenye genge la magaidi..
Movie zote mbili ni nzuri lakini mi nimeipenda zaidi White house down kwa jinsi walivyoweza kulchezea limousine (The Beast) ya Mr Prezidaa.. Ipi ni movie nzuri kwako?
kaka kama una line ya voda unajiunga na wajanja night sh 200 tu kuanzia saa 4 usiku kisha unapakua hayo makitu kiulani kabisa maana unaiacha inadownload unaenda zako kulala ukiamka asbh unakut mzigo tayari.Nimeshapakua nyingi sana tena zenye quality ya HD kwa dizaini hiyo
Hakuna longolongo Mkuu, link hii hapa chini. Mambo ya kununua movies nilishasahau kabisa. Nikishapakua nazitumbukiza kwenye external HD baada ya hapo naunga kwenye Samsung flat tv iliyounganishwa kwenye Home Theatre ya ukweli nakula vitu kama vile niko Sinema.naomba unipe website za kudownloadia movie zilizo poa na hazina longolongo