Olympic 2012 ....Waafrika mmetisha!

Hivi mpaka leo watu wanazamia ulaya tu?

We mtu Olympian unashindwa kurudi kwenu, kupanga ki CV na hata kusuka mipango kwenda kwenye chuo mbuzi popote duniani kuuza sura?

Aibu.
 
nimesoma jamaa wamekimbia kambi
 
HAwataishi kwa raha hata kidogo maana picha kila kona, halafu hivi mbona Uk maisha magumu sana siku hizi ?!
 
Ni fikra duni tu kama za JKilaza nae ndo maana kilasiku anashinda ulaya.
 
Unajua kuna baadhi ya profession inabidi kuzistaafisha tu. Uzamiaji mojawapo.
 
nakumbuka team ya afghanstan ilienda cheza canada juz juz tu,wakazamia watu wote adi kocha na wengine toka serikalini,pia wachezaj wa eritrea walivyozamia dar,chezeya njaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…