Oljoro JKT VS Azam FC ndani ya StarTv.

Oljoro JKT VS Azam FC ndani ya StarTv.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,709
Reaction score
1,735
Kwa wale wapenda ukweli tafuteni StarTV sasa hivi mfaidi mechi hii na sio kumsikiliza mtangazaji wa radio. Mechi nzuri ila naona 'pitch' sio nzuri.
 
...mbona gemu la el clasical halionyeshwi...?? asa huku mwanakwerekwe tutaonaje mazee...
 
...mbona gemu la el clasical halionyeshwi...?? asa huku mwanakwerekwe tutaonaje mazee...
Kamati zao za ufundi hazitaki TV kuonesha mechi zao. Hii ndo bongo bwana. Endelea kuangalia gemu hii nzuri mno.
 
Hawa wakaazi wa mji huu wa Arusha ni wanasiasa zaidi? Naona uwanja upo takriban tupu japo ucheche wa kamera za StarTV ndio hivo tena.
 
Kamati zao za ufundi hazitaki TV kuonesha mechi zao. Hii ndo bongo bwana. Endelea kuangalia gemu hii nzuri mno.
...ngoja nijiliwaze,sijui lini bongo tutajua maana ya tv....
 
Back
Top Bottom