MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Noma mkuu huyu mwamba huenda ana maslahi ssc.We jamaa muda wote akili yako inawaza mpira na hujuma mpirani, na uganga.
Nimeonya na Mightier nimemaanisha.Mkuu umeuandama sana upande wa pili, mbona una hofu namna hiyo??
Huwa inafanyika na huwa wanafanya hivyo.Halafu gemu ikiisha wanafukua au?
Sasa kuna haja ya kufanya exploration survey uwanja wa taifa, huenda uwanja ule uko makaburini
Ole wao hiyo Hospitali watoe Maiti humo.Noma mkuu huyu mwamba huenda ana maslahi ssc.
Nimekuita ufungue Thread yangu? Hopeless..!!We jamaa muda wote akili yako inawaza mpira na hujuma mpirani, na uganga.
Pumbavu...!!!Cha ajabu ni kuwa mada hii bado ipo tu humu jf mpaka sasa!!
Huyu lazima atakuwa mchawi.We jamaa muda wote akili yako inawaza mpira na hujuma mpirani, na uganga.
Picha WekaHuwa inafanyika na huwa wanafanya hivyo.
Fanya kazi upate pesa ukazuie hiyo maiti isitolewe,wenye pesa watapewa maiti na hakuna kitu unaweza fanya..fankulo.Wewe Mganga Mkuu wa hiyo Hospitali nakuheshimu sana na tunajua nini Kinaendelea hapo, sasa ole wako uruhusu Maiti kutoka ili ikafukiwe wafanikiwe Jumamosi kwani nitakuanika rasmi ili Serikali ya Rais Samia imalizane nawe.
Wao si wanajifanya wanajua Kuroga mpaka wakapandisha Waganga wa Kienyeji 17 kwenye Ndege kwenda nao nchini Nigeria na bado wakapigwa? Sasa waambie wawatumie Waganga hao hao hapa Temeke Dar es Salaam Tanzania sawa?
Mlio na Maiti za Wapendwa Ndugu zenu katika Mochwari za Hospitali Kubwa Mkoani Dar es Salaam tafadhali hakikisheni zipo na hazitolewi kwani kuna Watu sasa Mganga wao Mkuu wa Unguja kawaambia wafanye juu chini wafukie Maiti Temeke Stadium ili Jumamosi iwe pona pona yao na Mafanikio.
Nyie Watu wa hiyo Hospitali siwaachi.